Madaktari tumshauri huyu mshkaji anaugua gonjwa la ajabu....

Barikiwa kwa darasa mkuu
 
Mkuu hizo funguz zimekomaa angalia huko juu nimetoa maelezo marefu sana kuusiana na hizo fungus inatakiwa jamaa aende kwa daktari hili amwandikie dawa za kumeza
Mara ya kwanza alitumia hzo za kumeza akapata nafuu, zmerudi tena kwa kasi
 
Nimeona na nishafowadi ujumbe ule mkuu
Mkuu hizo funguz zimekomaa angalia huko juu nimetoa maelezo marefu sana kuusiana na hizo fungus inatakiwa jamaa aende kwa daktari hili amwandikie dawa za kumeza
 
Ujumbe utamfikia thanx
Kama ana akili atagundua kuwa huu ushauri na utibabu wa mitaani ndiyo umemfikisha hapa alipo. Hizo gharama zote na muda aliopoteza kununua dawa na kujitibu mwenyewe angeweza kwenda hospital. Waendesha bodaboda wengi ni wachafu na wanalala kwenye mazingira machafu sana. Sijui huyo jamaa yako kama yuko tofauti ila mwambie afanye juu chini akope ili akatibiwe.
 
Ujumbe utamfikia harka sana mkuu
 
Ujumbe nitaufikisha asante
Mungu amfanyiye wepesi kabisa... Ahakikishe baada yakutumia dawa nguo zake azisafishe kwa Detol na maji ya moto. Na ajiepushe kuvaa nguo mbichi.
 
Maisha mzee yupo stressed sana... Bodaboda yake hata 600000 haiuziki nispana mkononi tu... Akiuza inamaana anaanza na moja[emoji16][emoji16][emoji16] anaweweseka kweli anaogopa itakatwa
itabidi aanze na moja maana jinsia inakua hakuna tena
 
Mimi mwenyewe wiki zilizopita niliugua fangasi sugu vidoleni.
Zikatengeneza vidonda kabisa,nikatumia hizo fluconazole na dawa ya kukausha vidonda ya maji lkn zikadunda hadi nikahisi vidole vinataka kukatika.
Baada ya hapo nikaenda kwa jamaa mmoja ana pharmacy yake ila sijajua ni daktari au mfamasia.
Jamaa akanihoji historia ilivyoanza akaniambia kwamba nimechelewa sana kuzitibu na akaniambia ningeendelea kutumia fluconazole hata mwaka mzima nisingepona.
Akanipa dawa fulani ya kupaka na vidonge nilivyotumia baada ya wiki tu nikapona.
Huyo jamaa yako anapatikana wapi ili watu wajue jinsi ya kumsaidia.
Unajua siyo fair kabisa mtu aathirike na kuwa hatarini kiasi hicho kwa sababu ya kukosa elfu 20 au 30 tu ya tiba.
 
...mmmmm, ana hakika hajatembea na mke wa mtu, ambaye ni Sumu....?
 
Daaaaah jamaa hawezi mudu hakika hawezi mudu nilimpa buku 5 nkabaki na buku tatu hiyo hela nilitegemea inivushe wiki nzima mzee kumsaidia kwa haliyake ningemsaidia haraka sana
Kwa hyo hali iliyofikia hatakiwi kuficha ugonjwa.
Kwa nini hakuwashirikisha ndugu zake na majirani wamchangie pesa apate tiba ya haraka.
 
Hili lianiumiza sana namhurumia jamaa angu hivi siku ikioza ikakatwa ataweza kuishi maisha ya kawaida kweli?

Yupo Mtwara mjini mkuu
 
Hata kama angekua katembea na mke wa mtu angesema kwa hatua aliyofikia kwa sasa, hana mahusiano mwaka sasa ndio maana anaamini ni fangasi
...mmmmm, ana hakika hajatembea na mke wa mtu, ambaye ni Sumu....?
 
Njia zote zilizo ndani ya uwezo wake zilifeli... Ndugu ndio anasubiri dadaake amtumie licha ya kumsisitizia hali halisi ni mwez sasa dadamtu hajafanya chochote...

Kwa hyo hali iliyofikia hatakiwi kuficha ugonjwa.
Kwa nini hakuwashirikisha ndugu zake na majirani wamchangie pesa apate tiba ya haraka.
 
Njia zote zilizo ndani ya uwezo wake zilifeli... Ndugu ndio anasubiri dadaake amtumie licha ya kumsisitizia hali halisi ni mwez sasa dadamtu hajafanya chochote...
Huyo jamaa anapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…