Madaktari wa Kenya wafanya upasuaji wa kihistoria Afrika

Madaktari wa Kenya wafanya upasuaji wa kihistoria Afrika

If the doctors say its a first in Africa, then its a first in Africa... wao ndo wanajua tofauti na ujuzi uliotumika....

Kenyatta hospital yenyewe imeshawai fanya surjery tano kama hizo.

The Kenyatta National Hospital (KNH), in which they now lie, has handled only five other similar cases in its history.
But the plan, the KNH Head of Paediatric surgery Joel Lessan says, "is to keep them beautiful to the end." The end being separation.

tena huyo daktari mkenya pia alihusika na surjery nyengine ya conjoined twins south africa

Besides, the twins' case will provide an invaluable learning opportunity for the teaching hospital.
"Theirs is a case that will undoubtedly be published in a medical journal," Lessian says.
In over a decade as a paediatric surgeon, he has only ever been involved in two cases. One of which was in South Africa. "But they were nothing like this; one was of parasitic twins and in South Africa, they were joined at the abdomen."

Kenya: KNH Doctors Face Hard Task of Separating Conjoined Twins

-----

Umesoma hilo neno ametumia? parasitic twins???????? hio inamaanisha mmoja wao anategemea kiungo flani kutoka kwa mwili wa pacha yake, kwahivyo lazma mtoto mmoja agawanyiwe kiungo flani ndo aweze kuishi akishakatwa... vile wanakaa kwa hio picha inaeza kua ilikua figo, au spleen au mchanganyiko wa viungo
 
The Bongolanders never cease to amaze
 
Huwa nashangaa sana pale linapotokea jambo jema au la kuhitaji kupongezwa, watu wanaweka roho mbaya na ushabiki.
Tukubaliane kwamba hii operation ni mafanikio makubwa sana, na itafungua milango na mafanikio mengine makubwa zaidi siku za mbele.

Namkumbuka sana Mwalimu Nyerere alisema inabidi kutumia resources zetu at the maximum, kama tuna mtaalam Kenya tumtumie huyo badala ya kumpa hiyo kazi mtu wa Amerika au Ujerumani, kufanya hivyo ni kuwaongezea nguvu wao.
Nashangaa vita inatoka wapi kwenye hili wakati watanzania watakao hitaji huo msaada wa operation ya aina hiyo, itakua ni nafuu zaidi kama itafanyikia Kenya.

Uwakilishaji wa habari wa ndugu yetu MK254 unajulikana ni wa majigambo na sifa za kupitiliza, tutafanya kosa sana kuona kwamba huu upasuaji si lolote kisa tunamkomesha huyu jamaa. Huo ni mtazamo hafifu sana, tuweke kando kasoro za mleta mada, narudia tena, upasuaji huu ni hatua nzuri na unahitaji kupongezwa.
 
Tatizo langu kwenu huwa huu unafiki wenu usiokua na aibu. Hapa wewe unaanza vizuri halafu unamalizia kwa unafiki. Naomba utulie kwanza, usome nilivyoanzisha huu uji, unitajie wapi nilihusisha majigambo kabla ndugu zako waliolaaniwa hawajaanza kutiririka na zile chuki na majungu yao.

Kichwa cha uzi " Madaktari wa Kenya wafanya upasuaji wa kihistoria Afrika"

Utangulizi "Wamefaulu kuwatenganisha mapacha waliokua wameunganishwa kwenye uti wa mgongo, ni aina ya upasuaji ambao siku zote Waafrika walihitajika kwenda Ulaya."

Naomba nionyeshe hapo kuna nini kinaashiria majigambo, kama hata wewe hutakua ni yale yale ya unafiki wa nduguzo. Upasuaji wenyewe haujafanyika Afrika, ni wa kwanza na kihistoria. Tumehusika katika kufanya upasuaji wa kuwatenganisha mapacha hapo awali, lakini huu ambao waliunganishwa kwenye uti wa mgongo ndio wa kwanza Afrika. Sasa kipi hapo nimejigamba.
 
MK254 unashindwa kuelewa jambo moja, angalia na soma tena comment zako baada ya hayo maelezo, kumbuka hii sio Mara ya kwanza kusoma post zako na Mara zote nalisema hili la dharau zako.

Narudia tena, sina tatizo na upasuaji, achana na hao wanaobeza, haisaidii kitu kupinga kwamba huu sio upasuaji wa aina yake kwa Africa.
 
Comments zangu siku zote huwa najibu chuki na majungu yenu, nikileta mada na mjibu bila chuki na majungu tutakwenda vizuri tu. Kuna wengi wenu humu tumejadili nao mada kwa utaalam bila vurugu zenu. Lakini kwa wale waliozaliwa kwa bahati mbaya huwa siwaachi bila kuwakumbushia. Kuna wengine nilishawapuuza siku zote baada ya kuona hawajafikia hadhi ya kujibiwa na mimi.

Nafikiri ukisoma signature yangu utaelelewa hamasa yangu nini.
 
Umu ndani kuna watu wanaona ndio wamesoma saaana yani like no body else....ukicomment kitu anakuja juu na mihemko kama kashikwa tako. ...
Sikieni nyie kama ni uelewa kila mtu anauelewa ndio maana tupo kwenye pool moja uku jf. . Sio kila post ya mtz mnaichukulia kirahisi .....kwani nani kabisha nyie mmefanikiwa kufanya iyo procedure? Alafu watu wakitoa refference ambayo pia yanafanyika tz mnaleta nyodo zakidada hapa hatutaki ujinga wenu
 
Ukileta za kuleta unapokezwa tu. Kama umesoma na una uelewa unaostahili basi jibu mada kiustaarabu, lakini ukipinda inabidi ukumbushiwe mapungufu yako. Ukileta ushabiki na ushindani, pia unakumbushiwa hadhi yako. Hamna reference mlioleta inayofikia upasuaji uliofanyika Kenya.

Kenya tumefanya upasuaji wa mapacha awali, lakini huu wa sasa ni wa kipekee Afrika, hivyo wacha mihemko na kuhangaika kwenda kutukusanyia references zenye hazikidhi kinachojadiliwa.

Signature yangu ni jibu nzuri kwenu, njoo kiustarabu tunakwenda, njoo kivingine tutashuka tu.
 
Umu ndani kuna watu wanaona ndio wamesoma saaana yani like no body else....ukicomment kitu anakuja juu na mihemko kama kashikwa tako. ...
Sikieni nyie kama ni uelewa kila mtu anauelewa ndio maana tupo kwenye pool moja uku jf. . Sio kila post ya mtz mnaichukulia kirahisi .....kwani nani kabisha nyie mmefanikiwa kufanya iyo procedure? Alafu watu wakitoa refference ambayo pia yanafanyika tz mnaleta nyodo zakidada hapa hatutaki ujinga wenu

Hii ni sehemu ya habari za Kenya, sasa sijuimnatakaj nyie watoto wa mama wa kambo!
 
Ukileta za kuleta unapokezwa tu. Kama umesoma na una uelewa unaostahili basi jibu mada kiustaarabu, lakini ukipinda inabidi ukumbushiwe mapungufu yako. Ukileta ushabiki na ushindani, pia unakumbushiwa hadhi yako. Hamna reference mlioleta inayofikia upasuaji uliofanyika Kenya.

Kenya tumefanya upasuaji wa mapacha awali, lakini huu wa sasa ni wa kipekee Afrika, hivyo wacha mihemko na kuhangaika kwenda kutukusanyia references zenye hazikidhi kinachojadiliwa.

Hili hatua kubwa sana kwa kiwango cha Afrika na kinajadiliwa pia kule Nairaland kwenye blogu za wanaijeria.
 
President Uhuru Kenyatta has congratulated the joint medical team that conducted a 23-hour surgery and successfully separated conjoined twins, aged two years.

The team comprised medical professionals from Kenyatta National Hospital (KNH) and the University of Nairobi’s School of Health Sciences.

The surgery is one of the continent's first, and given that it was conducted at KNH'S main theatre, it is testimony to the vast improvement in the quality and capacity of Kenya's public hospitals.

QUICK RECOVERY

The President on Thursday also wished the twin girls a quick recovery and all the best as they embark on life after the surgery.

He thanked the medical team for their outstanding work, dedication and a great sense of civic duty.

The joy of the mother, relatives and family friends of the girls is shared by the whole nation and beyond, he said.

The twins can now talk and respond to their mother, Nairobi News reports.

The hospital’s acting CEO Thomas Mutie on Wednesday said the children had been admitted at the Specialised Surgical Paediatric Ward for more than two years to allow development of key organs and also enable them to gain appropriate muscles to withstand the surgery.

PATIENTS STABLE

“Surgery of this nature usually required planning and regular consultation by a multi-disciplinary team of KNH and School of Health Sciences, UoN specialists to exchange ideas on how best to perform the procedure while minimizing the risk of either paralysis or neural damage,” said Dr Mutie.

He added that the children were stable and are receiving specialised care as medics monitor their progress.

“We are confident that they will fully recover and live normal independent lives to adulthood,” said Dr Mutie.

Dr Mutie thanked the team for conducting what he called the “first ever sarcophagus surgery in Africa” with great dedication.

Uhuru lauds doctors who separated conjoined twins
 
Hongera kenya ,ila si mara ya kwanza kufanyika africa hata TZ MOI wameishafanya operations kama hizo ,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom