Madaktari wa Kenya wafanya upasuaji wa kihistoria Afrika

Hongera sana Kenya. This is a big step towards great achievements. Ila the first operation like this in sub Saharan Africa was performed in SA with Dr Ben Carson.
 
..jamaa yako ana reputation ya kuisema vibaya Tz.

..operation ya kwanza kutenganisha mapacha ilifanyika Tz mwaka 1994.

Mnasemwa vibaya kwa ajili ya majungu na chuki zenu, waasisi wa Jamii Forums wameigawa kwa vitengo. Kwamba kuna sehemu ya habari za Kenya, Uganda, Kimataifa halafu kwengine huko mumeachiwa Watanzania maana ndio chimbuko la JF.
Sasa kiherehere chenu huwa kinawatuma kuja kutukana kila mkiona habari nzuri za Kenya zimewekwa kwenye Jamii Forums Kenyan news section. Mnataka muone tu taarifa za Alshabaab wamelipua Nairobi ndio huwa zinawapa big O.

Hizi hapa ni habari za upasuaji wa kwanza Afrika kutendeka Kenya, ulitaka niweke wapi. Hii sarcophagus twins separation ya kwanza Afrika, meza au uteme lakini ndio ukweli. Utoe hongera au utukane, ndio ukweli. Twin separation hata Kenya imetendeka hapo awali, lakini aina hii ndio ya kwanza Afrika. Nimepitia kwnye forums za Wanigeria, Waganda, Afrika Kusini wote wanatoa hongera, nyie baadhi yenu sijui aliyewaroga nani hadi mnakua na roho nyeusi za kichawi.
 
..unarudi kulekule ukitumia lugha za hovyo-hovyo.

..nimekwambia Tz kuna uzoefu wa kutenganisha mapacha tangu 1994 wakati wa Prof.Shija.
 
Na mimi nimekuambia Afrika hakuna uzoefu wa kutenganisha sarcophagus. Ndio mara ya kwanza, na tumeweka kwenye Kenyans news ndani ya JF. Haya kwaheri, ndio mwisho kukujibu wewe na wenzio kwa hili.
 
..uzoefu wa kutenganisha mapacha tunao Tz tangu 1994.

..Tz haijawahi kuwa na mapacha sarcophagus

..ni mara chache mno mapacha kuzaliwa wameunganika namna hiyo.

..mimi nakushangaa unavyotushambulia waTz kwamba hatuna mapacha wa aina hiyo.
 
Mkawatenganishe mapacha waliounganika kwenye uti wa mgongo(sarcophagus) alafu mje upya!

BLA BLA BLA...domo domo, maneno mengi ,uwongo na majungu!
Kalb wahed!
 
Uwiiii jaman watz pigeni kimya tu, miaka flan ivi imepita tulikuwa na mzungu flan akapata complications hapo moshi, tukaenda naye kcmc, ilikuwa majanga full, ma "specialist " hawaelewi kiingereza. Wrong diagnosis hata history taking ni kama ya waganga wa kienyeji! Yule mzungu alikuwa ni cardiologist mwenyewe lakini hakusema lolote, akaniambia hapa akitibiwa ni kifo tu. Ilibidi tuchukue AAR flying doctors hadi nairobi. Bila hivyo mzungu angekuwa r.i.p!
 
tunathibitishaje hii story yako..au unajiteKENYA!?..wanagap wametibiwa hapo kcmc kwa tatizo hlo wakafa?..ndomana mnauana kikabila,mpo empty upstairs,weusi hadi akili
 
Tuliza mkunduo uliothirika na umasikini nyie weupe hadi akilini, duh!...eti liafrika linaita mwenzake mweusi, weye ni mzungu mweupe eeeh?......ebo!....pmbaff sana!
 
Tuliza bongo lako lala, umeambiwa tukio la KWELI!.......kalb wahed!
 
Tuliza mkunduo uliothirika na umasikini nyie weupe hadi akilini, duh!...eti liafrika linaita mwenzake mweusi, weye ni mzungu mweupe eeeh?......ebo!....pmbaff sana!
jaluo..mbona umekimbilia kutaja hyo sehemu,unaikodisha!?
 
Back
Top Bottom