Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ujaelewa huwezi elewa tena
Pambana na hali yako.....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
haya.
kudos to my kenyan brothers
Comments zangu siku zote huwa najibu chuki na majungu yenu, nikileta mada na mjibu bila chuki na majungu tutakwenda vizuri tu. Kuna wengi wenu humu tumejadili nao mada kwa utaalam bila vurugu zenu. Lakini kwa wale waliozaliwa kwa bahati mbaya huwa siwaachi bila kuwakumbushia. Kuna wengine nilishawapuuza siku zote baada ya kuona hawajafikia hadhi ya kujibiwa na mimi.
Nafikiri ukisoma signature yangu utaelelewa hamasa yangu nini.
Hii ni sehemu ya habari za Kenya, sasa sijuimnatakaj nyie watoto wa mama wa kambo!
Ok, naomba tufunge mjadala kuhusu majungu, tuungane kupogenza juhudi na ustadi ulioonyeshwa na madaktari wa Kenya kwenye huo upasuaji. Iwe chachu ya kuibua tafiti zaidi zitakazochangia mafanikio makubwa zaidi kwenye sekta ya afya.
MK254 sisi tulifanya mwaka 2013! Kenya is a laggard nation indeed! A surgeon’s life is all about sacrifice and commitment
Hahaha.....Don't argue with mad people,No one will notice who is mad and who is not
Peace, love and unity...asante.
Hongera kenya ,ila si mara ya kwanza kufanyika africa hata TZ MOI wameishafanya operations kama hizo ,,,,,,,,
mkuu MK254 naikumbuka biologia yangu vizuri najua sacral region ni lile la sacral bone kwenye uti wa mgongo. Ikiwa madaktari wanasema ni upasuaji kwenye hiyo eneo la mwili na haijawai fanyika barani, nitawaamini. Hivi vitu sio chekecheaPeace, love and unity...asante.
amina mkuu.Ahsante kaka mkuu!
Ok, naomba tufunge mjadala kuhusu majungu, tuungane kupogenza juhudi na ustadi ulioonyeshwa na madaktari wa Kenya kwenye huo upasuaji. Iwe chachu ya kuibua tafiti zaidi zitakazochangia mafanikio makubwa zaidi kwenye sekta ya afya.
..tatizo la huyu ndugu yetu ni kutoa taarifa hizi huku akibeza wa-Tz.
..operation ya kwanza hapa Tz ku-separate mapacha(omphalopagus) ilifanywa na Prof.Shija wa Muhimbili. If i am not mistaken it was done in 1994.
..in 2013 Dr.Zainab Boukary amefanya operation ku-separate mapacha (ischiopagus) ktk hospitali ya muhimbili.
..kwa hiyo utaona kwamba wataalamu wa operation kama hizo wapo Tz. Contrary na jinsi ndugu yetu anavyofikiria.
..mimi naamini mapacha(sarcophagus) hao wangekuwa Tz, madaktari wa Muhimbili wangeweza kuwafanyia operation.
Cc Geza Ulole, MK254
Hajataja Tz kwa taarifa yake mkuu. Punguza inferiority complex.