Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohoo!! tulitulia kidogo hapa, ila kutwa ya leo tunaimalizia 8 8 eneo la jkt, karibu sana jioni tule vitu.Nipo kihonda kwa chambo mitaa ya Azimio
Basi mtaendelea kuwaona wakiwa kazini tu maana wakitoka nje wanakuwa na dressing ya kawaidaNje hukooo ndo fresh sema ukiwa na nguo za kidr unavutia zaid
Sio kweliMshahara mdogo mnapenda sifa mxeeeew
Okay!Nakujaa ngoja nimwambie bro atengeneze kingalangala hiki tuje nachooo
Sema bankers wengi hua hawapendi kujichanganya sanaHasa wa NMB
Naogopa kulipa deni....?!Ungewalaaaa
Si hapa bima uje basi nkupige sindanoWapi sasa au ndo wewe?
Ukiwala watoto wa wenzako na wewe lazima kipenzi chako kije kitafunwe tu.Kivip
Kwa taarifa yako hata mi ni doktaYani kila hospital ninayopita sijawahi kutana na Dr asiye na mvutooo.
Duuuh wanajua kuvaa hasa suruali za kadeti mashati yamenyooshwa vizur yani mahandsome[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Jaman jana nilikuwa mitaa ya Mirembe hospital wale wakaka sjui walikuwa kwenye field sijui mitihani yani wotee wazurii khaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ila madr wanajua kuvaa alafu mbona sura zaoo nzurii sana au macho yangu.
Usiombe ukutane na Mahb madr ndo wametoka kuajiriwa kama mwaka au miaka miwili wanakuwaga wazuri yanii vijana vijana wanavaa vizur yani [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Alafu Madr wanapenda kumiliki vitu vizur vizur kuanzia simu,magari na nyumba kwa sababu wana mihelaaa.
Ndo maana nimeamua kuolewa na Mganga kalumanzila maana nawazimia madaktareeee[emoji182][emoji182][emoji182]View attachment 874207
HahahMxeeew naogopa