Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa tambua tu nipo kwenye kundi la wasiopendwa, nathubutu kusema mm sio drHahahaha jitaje tuu mkuu
we uko moro?Oooh na Air port je?
Ukitaka kuja kunitembelea kazini sitakuruhusu, hadi nikitoka ndio nitakuruhusu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaha yani acha tu [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Wengine wa naomba number hata ka haumwi atajifanyisha tuUsumbufu kama wote anataka hivi hatak Dr anachosema ni balaaa
Sasa wewe naingia ofisin unaanza kupiga story utanifanya nichizikeUkitaka kuja kunitembelea kazini sitakuruhusu, hadi nikitoka ndio nitakuruhusu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kutumbuliwa kunauma kama kuchomwa sindano bila ganzi
Hahaaa tena wa shule ya mfereji, AsanteWewe mwalimu poleeee
[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] misula yetu imeharibika na mikesha (six week without sleeping) na malindoHamna lolote katika watu wanapenda wake zaoo nyie number 1 ila misura yenu ptuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa wewe naingia ofisin unaanza kupiga story utanifanya nichizike
Wanawake wengi navyosikia wanawapenda Wanasheria kwa sababu ya usmart wao wa juu na chini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usumbufu kama wote anataka hivi hatak Dr anachosema ni balaaa