Hapa nawasemea wahandisi wote...!Ni kweli usemavyo
Ila ukitukuta maeeo yetu nje ya kazi lazima ujiulize hivi huyu ndio yule... !
Asante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nawasemea wahandisi wote...!Ni kweli usemavyo
Hivi ni kweli ma dr huwa wana hela kuliko wahandisi ?Ni kweli usemavyo
Sana alafu nawaonea huruma na kero za wagonjwaaaHahaaaa umeona huko kutudekeza hutupa wagonjwa nguvu na kutoa uoga aisee na maumivu hupungua, ila hata nyie madaktari kuna saa huwa mnapitiwa eeeh siunajua kiubinadamu, mi na wapenda ma Dr kwa kazi nzuri
Hahaa, bila kuwasahau jamaa zangu wa PharmacistEeeh hahahahajha hata wa x ray [emoji23][emoji23][emoji347]
Sio kweliUnamaanisha dr MD au specialist? Manake MD analipwa 900k per month hapo ana bachelor
Ila mbona nasikia hamtupendi kwa sababu tunapenda kuwapa amri sanaHusband material [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]