Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Yani uwiiii wanaume wa Tanesco ni shidaaaaa
Wakifatiwa na askari magereza ptuuuuu
Unajua haya mambo huwa yanategemeana. Mwanaume hawezi kuwa malaya bila uwepo wenu wanawake.

Sasa hapa inabidi muwe mnakaza.

Kuna jambo nilitaka niongezee hapa,ila navuta subira kidogo.
 
kwan na ww hensam? weka hapa demiss aku"saminishe"
Unajua mimi ni mtu mwema sana,nilivyokuwa O' Level nilikuwa natamani sana nije kuwa daktari lakini nikawaza suala la kuwatafuna watoto wa watu,nikasema ngoja nishirikishe halmashauri ya akili yangu.

Tokeo la O Level kwenda A Level lilinikuta nimeshakuwa sio yule wa mawazo ya udaktari maana nilikuwa na mawazo ya Zinaa ni deni na mimi sipendi kulipa madeni yenye kuambatana na maumivu. Nikaamua kuanza kuwaza masomo ambayo hayatakuwa na muongiliano na watoto wa kike kila mara.

Ila ole wenu,ningekuwa dr ................!
 
Back
Top Bottom