Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fish fishMoro kiwanja gan mbn mm mwenyeji sanaaa
Usiwe unatembelea maeneo hayo utasababisha matibabu yakosewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilkuwa mm si unaona nilivyokuwa nawacheki[emoji23][emoji23][emoji23]
UngewalaaaaUnajua mimi ni mtu mwema sana,nilivyokuwa O' Level nilikuwa natamani sana nije kuwa daktari lakini nikawaza suala la kuwatafuna watoto wa watu,nikasema ngoja nishirikishe halmashauri ya akili yangu.
Tokeo la O Level kwenda A Level lilinikuta nimeshakuwa sio yule wa mawazo ya udaktari maana nilikuwa na mawazo ya Zinaa ni deni na mimi sipendi kulipa madeni yenye kuambatana na maumivu. Nikaamua kuanza kuwaza masomo ambayo hayatakuwa na muongiliano na watoto wa kike kila mara.
Ila ole wenu,ningekuwa dr ................!
KhaaaaaaaaaaaaahJamiiForums, nimeipenda display ya jf ktk browser. Imebadilika mudasi mrefu. Naona mmefanya maboresho.
Ni kweli maana hata ka huko kazini wagonjwa wengine mitego huzidi mnoSana alafu nawaonea huruma na kero za wagonjwaaa