Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mimi bado kijana kabisa yaani BAROBARO.Ukirud baada ya miaka 7 umekuwa mzeee
Hahahaha. Unatuharibia wewe....!Tena wa tanesco malaya kama nn?
Nimeshathaminishwa kitaa. Halafu huwa sipigi picha zaidi ya picha za dharura.kwan na ww hensam? weka hapa demiss aku"saminishe"
Unajua haya mambo huwa yanategemeana. Mwanaume hawezi kuwa malaya bila uwepo wenu wanawake.Yani uwiiii wanaume wa Tanesco ni shidaaaaa
Wakifatiwa na askari magereza ptuuuuu
Unajua hata ma engineer wana madaraja...!Demiss ni kweli kuna watu wanapendelewa kila idara uzuri wao, akili wao, ucheshi wao.
Nimeshathaminishwa kitaa. Halafu huwa sipigi picha zaidi ya picha za dharura.
Unazijua picha za dharura bibie ?
Unajua mimi ni mtu mwema sana,nilivyokuwa O' Level nilikuwa natamani sana nije kuwa daktari lakini nikawaza suala la kuwatafuna watoto wa watu,nikasema ngoja nishirikishe halmashauri ya akili yangu.kwan na ww hensam? weka hapa demiss aku"saminishe"
Embu nitajie hata moja,ili nione kweli kama unazijua.hheheheeh nazifahamu mkuu!sawasawa
si ppEmbu nitajie hata moja,ili nione kweli kama unazijua.
Sijakuelewa "pp" ndio nini ?si pp
pasport sizeSijakuelewa "pp" ndio nini ?
Asante. Uko vizuri. Tatizo la watoto wa kike ukitumiwa pasport size,atakwambie piga picha nikuone ukiwa umesimama.pasport size
Ma engineer wengine wako rough hawajipendiUnajua hata ma engineer wana madaraja...!
Sawa sawa !Ma engineer wengine wako rough hawajipendi
Unajua nini mazingira ya kazi nayo huwa changa moto....!Ma engineer wengine wako rough hawajipendi
Ni kweli usemavyoUnajua nini mazingira ya kazi nayo huwa changa moto....!