Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Wanawake wengi navyosikia wanawapenda Wanasheria kwa sababu ya usmart wao wa juu na chini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sjawahi kudate na mwanasheria duuuh pole yanguuu
 
ohoo!! tulitulia kidogo hapa, ila kutwa ya leo tunaimalizia 8 8 eneo la jkt, karibu sana jioni tule vitu.
Nakujaa ngoja nimwambie bro atengeneze kingalangala hiki tuje nachooo
 
Kwa taarifa yako hata mi ni dokta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…