TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
Hivi hela inatakiwa nitafute hadi zifikie sh ngapi na mimi nisifiweHahaha usjali soon tafuta helaa tu
😀😀😀 "asaminishe"Asante. Uko vizuri. Tatizo la watoto wa kike ukitumiwa pasport size,atakwambie piga picha nikuone ukiwa umesimama.
Watoto mna vimbwanga vyenu nyie.....!
Haswaa !😀😀😀 "asaminishe"
itakuwa ulisimuliwa na wewe ukaaminiUnamaanisha dr MD au specialist? Manake MD analipwa 900k per month hapo ana bachelor
Uko fasta mno!!Kwani nipoje jamani?
Ku replyKufanyaje?
[emoji1] kuna. Jamaaa kanirekebisha anasema take home ni 1mitakuwa ulisimuliwa na wewe ukaamini
Soon tu aisee ata udaktari ya kijivisha utahusika.... 😁Hahahha utamaliza lini chuo
Na waendesha bodaboda!!!Kwahiyo sisi makonda siyo mandsome jaman duuh
Tunakulaga jamani mpaka basi!!!Ndio maana waongoza kuwafukunyua kwa sababu kama hizi ulizoeleza maana karibu wasichana wote wanapenda kuwa na madatari[emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16]Zamu yetu madr wa mitishamba kusifiwa bado
uchocheziTena wa tanesco malaya kama nn?