Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Naunga mkono hoja.....ila me siwataki sababu moja tu....ukifika room unaambiwa bby vipimo vya ukimwi hivi hapa nyoosha kidole nikupime ..dooooh kwaaaakweeeeli wapite tu
 
“Ungeandika madaktari ni mahandsome sana” ingeleta tu maana..mana hakuna mahandsome wa kike..
 
Makoti meupe tu

Vipi kuhusu wanaofanya kazi kwenye mabucha!!
 
Back
Top Bottom