Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Hahaaaa umeona huko kutudekeza hutupa wagonjwa nguvu na kutoa uoga aisee na maumivu hupungua, ila hata nyie madaktari kuna saa huwa mnapitiwa eeeh siunajua kiubinadamu, mi na wapenda ma Dr kwa kazi nzuri
 
Binafsi navutiwa na mtu nje na maeneo yangu ya kazi ila unaponikuta job unanikuta na mipango kazi na kanuni zangu kwa kazi yang pia taayari nishavaa tatizo lako kuwa langu sasa kama ivo hata feelings zinakuwa hazipo sema tu ntakupa maksi kuwa ww unavutia labda ukipona na ukanijuza uko poa na nje ya mazingara ya aiseee mbona ntaflash back appearance yako mamy nikutafute[emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Hahaaaa umeona huko kutudekeza hutupa wagonjwa nguvu na kutoa uoga aisee na maumivu hupungua, ila hata nyie madaktari kuna saa huwa mnapitiwa eeeh siunajua kiubinadamu, mi na wapenda ma Dr kwa kazi nzuri
 
Hyo ni kweli kabisa yani na sifa ya Dr aliyekamilika ni kuwa strict na kazi yake mda wote nakuwa na huruma. Sasa ukiroka unaanzaje kumtafta labda una kutana huko nje accidentally
 
Huko njee fresh maana unakuwa si mgonjwa tena nikupambana na changamoto ndogo ndogo kama mumewo kama umeolewa ama kaka zako na ndugu zako
Hyo ni kweli kabisa yani na sifa ya Dr aliyekamilika ni kuwa strict na kazi yake mda wote nakuwa na huruma. Sasa ukiroka unaanzaje kumtafta labda una kutana huko nje accidentally
 
Kumbe yule mtoto mweupe mzuri ndio alikuwa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huko njee fresh maana unakuwa si mgonjwa tena nikupambana na changamoto ndogo ndogo kama mumewo kama umeolewa ama kaka zako na ndugu zako
Hyo ni kweli kwa huko nje I do believe ma Dr wengi hutunukiwa huko nje kwa kujali tu wagonjwa hasa kina Dada maana duh, mtu hajawahi treatiwa hivo sasa akikutana huko nje kifuatacho ITV....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…