Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata watu Wa chini tunahitaji farajaNa waendesha bodaboda!!!
Wanaume wa Tanesco wanaongoza kwa kuhonga kwa sababu wana mihelaYani uwiiii wanaume wa Tanesco ni shidaaaaa
Wakifatiwa na askari magereza ptuuuuu
Ni kweli tiba huanzia kwenye psychology. Nakumbuka Nikiwa katika hali ngumu kitandani, (hosp) Dr akaniita 'Sweetie' kama sehemu ya kunituliza/ kunibembeleza. Aisee niliona tatizo langu limeisha. Nikapata nguvu mpya. Nikikumbuka nacheka sana.Ngoja niseme neno hapa . Nimefurahi sana kumbe huwa tunawavutia nimeamini tiba huanza kuanzia psychology na mengine hufuata
Congratulations if that is the way you areI realy love this work
Despite all the hardship that we get
One thing , pride to us is not our first priority but some one's life
Nothing that makes me feel good like saving some body life
Na kuondoa uchungu to certain relatives
Na hakuna uchungu naupata like someone departing in my hand
I dont want it to happen again
I love my work View attachment 874240
Nan mm auCongratulations if that is the way you are
Umeona sasa,hizi fursa nazitamani ila nikiwaza tu,daah !Ni kweli tiba huanzia kwenye psychology. Nakumbuka Nikiwa katika hali ngumu kitandani, (hosp) Dr akaniita 'Sweetie' kama sehemu ya kunituliza/ kunibembeleza. Aisee niliona tatizo langu limeisha. Nikapata nguvu mpya. Nikikumbuka nacheka sana.
Nimecheka almanusra nimwamshe aliyelalaNan mm au
Mm konda hapa gerezan
Unatuzalilisha kukopa NMB ni suna kwetuHahahaha najua wewe wapi nitakusifia japo unataka kufanan na Maaskar magereza watu ambao wanaongoza kwa uongo na mikopo
Ukiwaza nini? Kipi chakurudisha nyuma?Umeona sasa,hizi fursa nazitamani ila nikiwaza tu,daah !
Unasema ?Unatuzalilisha kukopa NMB ni suna kwetu
Dah ...Nimecheka almanusra nimwamshe aliyelala
Kuwatafuna wagonjwa.Ukiwaza nini? Kipi chakurudisha nyuma?
Yeah mtu kuumwa ni hali ya mwili kudhoofika na cell zake hudhoofisha mwili ila faraja hujenga imani na iman huipa ubongo na fikra mwanga wa kuone hata kesho yako inathamni kubata nafasi nyingine tena kwny maisha na mm niseme tu vepe kipenzi waonaje na hali[emoji175]Ni kweli tiba huanzia kwenye psychology. Nakumbuka Nikiwa katika hali ngumu kitandani, (hosp) Dr akaniita 'Sweetie' kama sehemu ya kunituliza/ kunibembeleza. Aisee niliona tatizo langu limeisha. Nikapata nguvu mpya. Nikikumbuka nacheka sana.
Kha! Kumcare mgonjwa ni lazima umtafune? Hiyo sifa sasa ndo itawakimbiza wagonjwaKuwatafuna wagonjwa.
Hapana huwa ni mazungumzo baada ya habari.Kha! Kumcare mgonjwa ni lazima umtafune? Hiyo sifa sasa ndo itawakimbiza wagonjwa