Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Ngoja niseme neno hapa . Nimefurahi sana kumbe huwa tunawavutia nimeamini tiba huanza kuanzia psychology na mengine hufuata
Ni kweli tiba huanzia kwenye psychology. Nakumbuka Nikiwa katika hali ngumu kitandani, (hosp) Dr akaniita 'Sweetie' kama sehemu ya kunituliza/ kunibembeleza. Aisee niliona tatizo langu limeisha. Nikapata nguvu mpya. Nikikumbuka nacheka sana.
 
I realy love this work

Despite all the hardship that we get

One thing , pride to us is not our first priority but some one's life

Nothing that makes me feel good like saving some body life

Na kuondoa uchungu to certain relatives

Na hakuna uchungu naupata like someone departing in my hand

I dont want it to happen again

I love my work View attachment 874240
Congratulations if that is the way you are
 
Ni kweli tiba huanzia kwenye psychology. Nakumbuka Nikiwa katika hali ngumu kitandani, (hosp) Dr akaniita 'Sweetie' kama sehemu ya kunituliza/ kunibembeleza. Aisee niliona tatizo langu limeisha. Nikapata nguvu mpya. Nikikumbuka nacheka sana.
Umeona sasa,hizi fursa nazitamani ila nikiwaza tu,daah !
 
Nimecheka almanusra nimwamshe aliyelala
Dah ...

Ndo maana nataka niache kuchekesha watu

Nusura nimwue dear ...

Alcheka sana hafu alkua anakula
Dah ... Aisee

Kacheke nje basi ... Nipo hapa nje utankuta
 
Ni kweli tiba huanzia kwenye psychology. Nakumbuka Nikiwa katika hali ngumu kitandani, (hosp) Dr akaniita 'Sweetie' kama sehemu ya kunituliza/ kunibembeleza. Aisee niliona tatizo langu limeisha. Nikapata nguvu mpya. Nikikumbuka nacheka sana.
Yeah mtu kuumwa ni hali ya mwili kudhoofika na cell zake hudhoofisha mwili ila faraja hujenga imani na iman huipa ubongo na fikra mwanga wa kuone hata kesho yako inathamni kubata nafasi nyingine tena kwny maisha na mm niseme tu vepe kipenzi waonaje na hali[emoji175]
 
Kha! Kumcare mgonjwa ni lazima umtafune? Hiyo sifa sasa ndo itawakimbiza wagonjwa
Hapana huwa ni mazungumzo baada ya habari.

Wengine tuliona udaktari ni mtihani kwetu,sababu ya muingiliano na watoto wa kike.
 
Hatimaye leo... Hata kuna mademu nao ni wazuri sema wana nyodo
 
Back
Top Bottom