Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

Wanaogopa nini wakati wanasema HAKI sawa.au hii haki sawa nikwenye pesa na vyeo vyakisiasa tu uko kwingine wanataka kujitenga.
Haki sawa ya mgonjwa kumchagua daktari anayemtaka. BTW Mwanamke na mwanamme hawako sawa kimaumbile hivyo wataendelea kuwa tofauti tu na tofauti zao zitaendelea mpaka kwenye maisha tunayoishi kila siku. Mimi ni watu ambao naamini kuwa mwanamke hatakaa awe sawa na mwanamme kwa baadhi ya mambo.
 
haki zako peleka private huko, ukija serikali fedheha nizakufikia tu
 
Sheria za kuficha mwili sio?
Ushasikia neno Super specialist wa Kina mama?
Ushajiuliza kwenye Hospital moja wanaweza wakawa wangapi?

We unadhani kuumwa ni PID tu?

Siku vinawashika vya maana hata hiyo ujinga unaleta hapa na wanao kusapoti utaona ni wajinga wenzio..

Kazi ya Matibabu usichanganye na ujuaji, makosa ya kimaadili yapo kwenye kila sekta..

Ila ukiona mkeo ni muhim sana fanya kumpeleka private na chagua daktari kwa gharama zako...

TBH watz wengi bado ni malimbukeni sana....

Samahan kama hii lugha ni mbaya sana ... Ila mnaudhi saana na hoja za kijinga
 
Ni kweli
 
Sasa hapa ulitaka kueleza nini? Mbona kama ni hadithi isiyo na suluhisho?

Pazia ziliwekwa za kusitiri si ndiyo!?

Kazi ya kugeuza, kupigapiga au kupikichapikicha pengine ndiyo namna ya mwanzo wa matibabu.
Hapo siyo umri wa nurse; angalia taaluma au kazi yake. Ndiye alikuwa nurse wa zamu bila kujali umri wake.
Baada ya hapo kilitokea nini kwa mgonjwa?

Madaktari na wauguzi wanakula kiapo cha kazi zao.
Hakuna kutoa Siri za mgonjwa na hata ugonjwa wake kwa mtu mwingine ila kwa ridhaa ya mhusika/wahusika.
Kama wapo wanaofanya hivyo ni kinyume na maadili ya taaluma zao. Tena wakijulikana hatua za kinidhamu zinachukuliwa ikiwamo hata kufukuzwa kazi.
 
Na kwa Ta
Kwa hapa Tanzania sasa hivi Madaktari vihiyo ni wengi mno tena kwa sasa wamerudi kwa kasi, wapo kila hospitali. Wengi wakishapekua sehemu za siri za wake zetu wanaenda vijiweni kusimulia jinsi nyeti za wake zetu zilivyo na wanapenda kuvaa chupi za aina gani huku kijiwe kikichangamka kwa vicheko. Utashangaa mwisho wa siku mtaa wako umejaa vijana ama watu wasio na kazi wanapita kuzingira nyumba yako ili mradi tu naye apate kumuona mkeo.
 
Upo sahihi maana daktari mwanaume kumfanyia uchunguzi mwanamke inamuathiri sana mwanamke kisaikolojia sijui kwanini serikali inashindwa kulitungia sheria jambo hili.

Sio kwamba mwanamke anapenda ahudumiwe na daktari au muuguzi wa kiume lahasha bali ni sera mbovu tu za serikali zinamlazimu mtu mtu kujivua utu wake wakati inawezekana kabisa madaktari wa kike wakashughulikia wagonjwa wa kike.
 
Hivi tuna madaktari wa kike wakutosha nchi nzima kweli? Kama mama akihujumiwa na dkt wa kiume uko utaratibu wa kutoa taarifa na hatua kuchukuliwa.kumbuka hawa madaktari wamezoea kuona viungo vya wagonjwa kiasi cha kukosa mawazo maovu
 
Mtoa mada atakuwa ndo yule aliyesema "NIKIFA KE WANGU ASIOLEWE"
 
Hawatoki salama? Wanabakwa? Hii mpya
 
Hakuna watu wanafaidi kama hao madaktari wa Wanawake,

anamwambia hebu panua miguu, na Mkeo hawezi kataa, jamaa anaingiza vidole atakavyo.....nawewe upo hapohapo chumba cha pili au nje.....SHIT
 
Nope, too late
 
Na kama Kuna upungufu wa madaktari wanawake mahali hapo inakuwaje!!
 
Bro wangu nikikaa nae kitambo alipata ajali Mara mbili,alikaa Sana hosp,ila baada ya kutoka wale manesi waliokuwa wanamtoa mkojo kwa mpira,maana alikua hainuki kalala tu...wakawa mademu zake wanakuja home
 
Ukiwa na mentality za kingono ngono hakuna kitu mwanamke atafanya hutahusisha na ngono.
 
Kama unaona madaktari wanafaidi nenda na wewe ukasomee udaktari.

Kitu usichokijua kulingana na medical ethics daktari wa kiume anamuhudumia mgonjwa wa kike mbele ya nesi wa kike kama shahidi.

Lakini je kama nesi hayupo na daktari yupo peke yake amuache mgonjwa afe kisa kuzingatia medical ethics?


Kingine usichokijua wanawake wanapenda zaidi kuhudumiwa na daktari wa kiume kuliko daktari wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…