Yani daktari kazifunua say 25 kwa siku aje kupata hamu ya k ya mzee na maradhi yake? Hebu tuwe realistic, zingine zinanuka na zingine zinadrain, zingine kubwa zingine ndogo zingine zimetoa ulimi nje hadi uurudishe then mtu anapataje hamu ya mgonjwa kwenye meza? Hivi hamjui sex is more of psychological not physical? Unamtamani mtu tangu unamuona sura, anavotembea, anavyoongea, afya yake, maumbile yake, etc unatamanije mtu umempandisha kwenye meza unatazama matatizo yake?. Ni kazi ngumu sana kufunua wamama wenye kila aina ya sura mchana kutwa wandugu! Daktari akitoka ataenda kutaffuta kasichana chake decent kenye mvuto maana ana access nacho (na wapo wengi sana wanajileta tu na afya zao, hatafuti) na anaweza sio wagonjwa atumie unyonge wao