Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.

Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!

Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!

Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Hali kadhalika madaktari wa kiume wawahudumie wanaume, itasaidia kwenye uadililifu na faragha
 
Mtoa mada alikuwa na jambo la msingi na angefaa kusikilizwa,tunatambua kwamba ni kweli wahudumu wa kike ni wachache kwa maana hao wataalamu,ila penye wataalam wengi wa kike basi wawa hudumie wanawake wenzao

Lakini hili la doktori wa kiume kumhudumia mwanamke akiwa na nesi wa kike linawezekana kabisa,kwasababu manesi wapo wengi tu,huenda linafanyika kimazoea zaidi na huenda hata mgonjwa hajui kama inatakiwa iwe hivyo,naamini pale hospital kungekuwa na miongozo ambayo iko wazi kwamba inasema mgonjwa wa kike ukichekiwa na doktori wa kiume hakikisha nesi anakuwepo ingesaidia sana,mgonjwa angemuulizia mbona nesi hayupo? Hapo moja kwa moja huu utaratibu wa kufanya kazi kimazoea ungeisha

Vile vile ni wakati sasa serikali kuwasomesha zaidi wataalaamu wengi zaidi wa kike ili kukava hili gepu la kuwa na wataalamu wachache wa kike

Kuna wadau mmezungumzia kuwepo kwa ethics za kitaaluma,ni kweli zipo lkn hawa ni binadamu ambao hawakosi mapungufu,ndio maana huko serikalini siri zinavuja kila siku,huko mahospitalini kuna wanataalamu wanafanya upuuzi mwingi tu

Kwahiyo mtoa mada ametoa hoja nzur sana ambayo itawafanya watunga sera na wasimamizi wa haya mambo kuliangali hili swala kwa upana zaidi
 
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.

Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!

Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!

Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Napinga hoja hii 😅😅😅
 
Kwa hiyo mkeo akiumwa na upo mbali na hospital yenye daktari wa kike utamwacha ateseke na maumivu mpaka atakapopatikana daktari wa kike? Blockhead!
 
Wanawake ndio watoe maoni juu ya hili na sio wewe me. Na mara nyingine mgonjwa hupewa uhuru wa kuchagua Dr. Yaani mtu aumwe kitu ambacho hakihusiani halafu aambiwe achanue miguu aangaliwe ute naye anakubali bila kuhoji? Upopoma!
 
Protocal Per vaginal examination
Should be carried only if there is 3+ persons
Doc/nurse
2 Chaperones can be any medic

Turudi kwenye mada mtoa mada ukifika 60 years tukahitaji kukufanyia DRE
DIGITAL RECTAL EXAMINATION
utaprefer jinsia gani?

Mind you You can skip DRE
only if doc has no fingers
OR
you dont have A N us 😂
 
Mgonjwa anayeumwa kweli, hachagui daktari; yeye anachojali ni kupona tu.
Vinginevyo usubiri mpaka ufe huku ukisubiria daktari wa jinsia yako.

Chukulia mfano, mapafu yamejaa maji na daktari bingwa aliyepo pale ni mwanaume; utasubiri ufe ukimngojea daktari wa jinsia yako aje kukutibu?
 
Its always men ndo wako na wivu na miili ya wake zao, na si wanawake kuogopa kuhudumiwa na wanaume...

Naunga mkono hoja na pia Mortuary zote wawe na wahudumu wa kike pia.
 
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.

Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!

Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!

Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,

Kwani zina nini hadi ziwe special hivyo wasizione? Unajua sura yake au huwa unazima taa na kuzipapasa?. Watu wanazisoma miaka 5+ plus then zije kuwa special wakati wa kupractice? Mashaka yako tu hata wao wanapenda wasizione ila ni wito tu unasababisha. Kuna wakati unaitazama then inakaa kichwani kwako hadi unamchukia mkeo na kujilaani hivi napendea nini haya madude mie! Hao uliowataja hata wasipohudumiwa na daktari mwanaume watapeleka kwa bodaboda, jamaa wa Equtorial Guinea wala sio daktari, muuza matunda atapewa, konda pia, mchungaji na shekhe na hata mwenyekiti wa jumuiya. Kifupi huwezi kucontrol akili ya mwanadamu na matakwa yake hata asipohudumiwa na daktari mwanaume, atahudumiwa na kalumanzila na ataweka dawa kwa kutumia mkia wake then atarudi kwako na wewe uweke pia.
 
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.

Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!

Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!

Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Baltasar kakutisha...
 
Ila *nye!!
Mama mtu anakwenda na maradhi yake mfano. mfumo wa uzazi eti Dokita anapata hamu.
 
Yani daktari kazifunua say 25 kwa siku aje kupata hamu ya k ya mzee na maradhi yake? Hebu tuwe realistic, zingine zinanuka na zingine zinadrain, zingine kubwa zingine ndogo zingine zimetoa ulimi nje hadi uurudishe then mtu anapataje hamu ya mgonjwa kwenye meza? Hivi hamjui sex is more of psychological not physical? Unamtamani mtu tangu unamuona sura, anavotembea, anavyoongea, afya yake, maumbile yake, etc unatamanije mtu umempandisha kwenye meza unatazama matatizo yake?. Ni kazi ngumu sana kufunua wamama wenye kila aina ya sura mchana kutwa wandugu! Daktari akitoka kazini kutafunua ataenda kutafuta kasichana chake decent kenye mvuto maana ana access nacho (na wapo wengi sana wanajileta tu na afya zao, hatafuti) na anaweza sio wagonjwa atumie unyonge wao
 
Yani daktari kazifunua say 25 kwa siku aje kupata hamu ya k ya mzee na maradhi yake? Hebu tuwe realistic, zingine zinanuka na zingine zinadrain, zingine kubwa zingine ndogo zingine zimetoa ulimi nje hadi uurudishe then mtu anapataje hamu ya mgonjwa kwenye meza? Hivi hamjui sex is more of psychological not physical? Unamtamani mtu tangu unamuona sura, anavotembea, anavyoongea, afya yake, maumbile yake, etc unatamanije mtu umempandisha kwenye meza unatazama matatizo yake?. Ni kazi ngumu sana kufunua wamama wenye kila aina ya sura mchana kutwa wandugu! Daktari akitoka ataenda kutaffuta kasichana chake decent kenye mvuto maana ana access nacho (na wapo wengi sana wanajileta tu na afya zao, hatafuti) na anaweza sio wagonjwa atumie unyonge wao
Nami nimeshangaa kwakweli.
 
Umeshajiuliza Je kwa wingi wa wanawake ambao ni madaktari wa wanawake waliobobea unajitosheleza kutibu wanawake wote.

Mie naona kikubwa wafanye kazi kwa kufuata sheria na taratibu na sio hizo mambo zingine.
Hilo neno
 
Back
Top Bottom