🤣Shauri yako wakuone ukicheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Urethra strictureNilioomaliza chuo nilipatwa na changamoto ya kiafya ikanibidi nilazwe hosii, jirani yangu alikuwa ni baba kabisa Kwa makamu yake na miaka yangu anqeza kunizaa.
Yule baba alikuwa na changamoto katika njia ya mkojo yani mkojo ulikuwa hautoki njia ilikuwa imeziba.
Kaka nurse mmoja asee akaanza kuishika mashine ya yule baba na nurse Kwa umri wake ni mtoto wa yule baba nilipatwa na aibu mimi pamoja na kuwa nilikuwa hoi lakin ile hali ilinihuzunisha sana.
Nurse alikuwa anaishika mara aipigepige mara aipikichepikiche yani ilikuwa ni balaa.
Kuna vile vipazia alikuwa kavitandaza kuziba watu wasione lakin kwa angle nilikuwa nimelazwa mimi kulikuwa hakuna kipingamizi niliona kila kilichoendlea
Pole sana kwa changamoto hiyo.Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.
Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!
Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!
Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Kwenye kile kiapo cha udaktari (Hippocratic Oath) kuna kuapa kutunza siri za mgonjwa.Na kwa Ta
Kwa hapa Tanzania sasa hivi Madaktari vihiyo ni wengi mno tena kwa sasa wamerudi kwa kasi, wapo kila hospitali. Wengi wakishapekua sehemu za siri za wake zetu wanaenda vijiweni kusimulia jinsi nyeti za wake zetu zilivyo na wanapenda kuvaa chupi za aina gani huku kijiwe kikichangamka kwa vicheko. Utashangaa mwisho wa siku mtaa wako umejaa vijana ama watu wasio na kazi wanapita kuzingira nyumba yako ili mradi tu naye apate kumuona mkeo.
Kweli kuna changamoto hiyo ya upungufu wa madaktari na manesi nk.Madaktari wenyewe kuna maeneo hawatoshi unadhani hilo litawezekana nchi nzima?.Option niwewe kuajiri daktari wako kwasababu dunia yaleo hakuna kipya.Kama niswala lakukosekana maadili na uadilifu ata hao wanawake nao wanamichezo michafu wao kwa wao siku hizi.cha msingi weledi,sheria na kanuni za kazi zizingatiwe.
Acha kupotosha watu,90% unaijua wewe au umeandika kujifurahisha?,kwa hiyo naye wote wanaochunguzwa hufurahia kutotoka salama sio?Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.
Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!
Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!
Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Shida hao madaktari wa kike hawatoshelezi nchini kiasi cha kubadili sera, 5 years sio mchezo na wengi wa wanafunzi wakike hukimbia masomo ya sayansi kwa kudai ni magumu.Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.
Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama zetu ,dada zetu na wake zetu !hata ugonjwa usio wa kuchunguza sehemu za siri daktari anamuamuru mgonjwa avue nguo alale kitandani amuingize vidole ati anaangalia kama Ute uko safi!
Sera ibadike kama Kuna uchunguzi ufanywe mbele ya mume wake au mmoja wa ndugu na si mgonjwa peke yake, ama daktari wa kike ahudumie wagonjwa wa kike ikiwa amehitajika kuchunguzwa sehemu za Siri. Wake zetu asilimia tisini wakivukiwa nguo huko kwenye vyumba vya madaktari hawatoki salama kabisa!
Na kwa Hali ilivyo sasa madaktari wengi ni wagonjwa na wanaleta athari kubwa kijamii waziri wa afya jitahidi kuondoa kero hii,
Hizi tuhuma unaweza kuthibitisha?Na kwa Ta
Kwa hapa Tanzania sasa hivi Madaktari vihiyo ni wengi mno tena kwa sasa wamerudi kwa kasi, wapo kila hospitali. Wengi wakishapekua sehemu za siri za wake zetu wanaenda vijiweni kusimulia jinsi nyeti za wake zetu zilivyo na wanapenda kuvaa chupi za aina gani huku kijiwe kikichangamka kwa vicheko. Utashangaa mwisho wa siku mtaa wako umejaa vijana ama watu wasio na kazi wanapita kuzingira nyumba yako ili mradi tu naye apate kumuona mkeo.
Dah!Akishasema achia miguu....nayo inainuka.
Mungu awapiganie kwa kweli kazi yao ni ngumu sana
🤦🤦🤦To yeyeeee!! To yeyeeee!! To yeyeeee!!!Akishasema achia miguu....nayo inainuka.