DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Internal pain , inategemea na shughuli unazofanya hasa kuji expose ktk moshi mzito wenye cabon nyingi,
Kupungukiwa madini muhimu yanayoipa misuli nguvu, ukiwa upo vizuri kawekewe ka oksijeni uvute vute kidgo, kunywa maziwa, meza dawa za maumivu
 
Ni miaka ya hivi karibuni Baada ya vijana kuwa wanafaulu sana na kuwa wengi ushindani unakuwa mgumu
 
Ulifanya vema
 
Pole Kiongozi, hawa madogo wengi siku hizi ni mabingwa tu wa kutongoza wagonjwa.

Ila kwenye taaluma yao ni ZERO.
 
Hatar sana kuna dada mmoja alikuwa anasumbuliwa na kizunguzungu kikali non stop miez mitatu, usingizi hapati hata lepe alikuwa anaenda hospitl flan ya private kubwa tu, alikuwa anatundikwa dawa za kutosha ugonjwa upo pale pale hadi nakutana nae yule. dada kashakata tamaa depression ishamkamata, katajiwa magonjwa yote makubwaπŸ˜‚πŸ˜‚,

Hadi kwa waganga kafika shida ipo pale pale
Alivyonielezea tu japo udaktari umebaki kama passion tu nikamwambia unatatizo la sikio twede ukachukuwe vipimo ila sikio ukilitazma halina shida yoyote kwa nje ila kwa ndani akakutwa na uvimbe mkubwa tu akapewa matibabu hadi akapona

Md sikuizi wwanaza pesa na mambo mengine kutibu wala wanalipuwa lipuwa ilimradi pesa
 
Sasa hivi naona bora nikapange foleni serikalini hukoo kuliko hizi private utopolo mtupu
Halafu daktari namuuliza mbona huniangalii chochote(mimi nishazowea kupimwa kwa kuangalia macho,ulimi,masikio,mapigo ya moyo kifuani/mgongoni, magoti) huyu daktari hata kunigusa hajanigusa. Kaandika tu dawa na kunambia nenda kachukuwe dawa pharmacy yao na kuondoka.
 
Hadi hapo inakuwa ni uongo, privacy ya kitu gani kwamba wewe pekee ndo mgonjwa hospital nzima?
Mkuu hayajakufika kuna sehemu niliwahi kuwasema wale wana wakaniwekea mwanasheria wao. Kwa kesi ya kuwaharibia biashara mahakama ilinitaka niwalipe wale watu fidia mpaka leo sina mambo ya kutaja majina ya sehemu husika.
 
aliyesoma Kumamoto ni ng'walali tu .
 
Mkuu hayajakufika kuna sehemu niliwahi kuwasema wale wana wakaniwekea mwanasheria wao. Kwa kesi ya kuwaharibia biashara mahakama ilinitaka niwalipe wale watu fidia mpaka leo sina mambo ya kutaja majina ya sehemu husika.
Acha kutudanganya hapa
 
Daktar yupo sahihi
Punguza ujuaji mkuu
Brucellosis inatibiwa hivyo kwa combined therapy
 
Hii ni Tatepa yenye tangawizi
 
Nimefanya utafiti Kwa nyakati tofauti tofauti kwenye hospitali na vituo vyetu vya Afya iwe binafsi au vya serikal, Kwa Kila mgonjwa wanayempima wakikosa tatizo lazima azawadiwe kwa kuambiwa (mkojo mchafu Una UTI)...
Hii Tabia ni mbovu mno na imeshika kasi
 
Mimi kanichosha daktari wa Membe, Dr Nyagori. Kasema on live TV marehemu kafa na Pulmonary Embolism iliyosababishwa na virusi. Toka lini cardiovascular case kama PE ikasababishwa na kirusi wakati inajulikana inasababishwa na DVT blood clots za miguuni 95% of the times na hizo 5% zilizobaki hakuna kirusi kinachohusika?? Na anajiita Profesa tena. Na yeye yuko Muhimbili, Membe alipelekwa Kairuki, amepata wapi hayo ma diagnosis yake?
 
kuna interview kasema PE? au vita ni vita mura?
 
kuna interview kasema PE? au vita ni vita mura?

ndio, interview zake zote nilizoziona "daktari wa famlia" Dr Nyagori kasema marehemu kafa kwa Pulmonary Embolism iliyosabishwa na virusi

hivi tunavyoongea mwanafamilia amejitokeza akipinga vikali taaluma aliotumia huyu "daktari wa familia" katika kutaja sababu za kifo cha Membe. Amejimbulisha kama mdogo wake Membe toka nitoke na amefanya kazi za taaluma hii kwa serikali ya Canada miaka 12.

ameongea yale yale niliyoyasema, toka lini kirusi cha mapafu kikasababisha Pulmonary Embolism, gonjwa namba tatu la moyo kwa kuuwa watu duniani, limeshafanyiwa sana utafiti, hakuna unaeweza kumdanganya kuhusu huo ugonjwa.... hapo ndio nilipoanza kum doubt huyu daktari anaejiita professa wa Jakaya Kikwete Institute....


 
Pole sana kwahyo walikuta shida kwenye figo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…