DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa mda ulioenda haukutakiwa kulaumu mtu almost ni asubuhi Kwa vituo vyetu mtoa huduma ni uyo tangu saa 9 mchana. Lakini kuficha identity pia sio swala zuri unajua kitu share ili kuboroesha huduma
 
Barikiwa sana kwa kuiheshimu taaluma yako, shida ni kwamba hata kelele ipigwe kiasi gani wakujibu na kulipa kipaumbele tatizo la wana taaluma hayupo maana wote ni wateuliwa wasio ithamini na kuipenda taaluma ya udakatari.
 
Kwa mda ulioenda haukutakiwa kulaumu mtu almost ni asubuhi Kwa vituo vyetu mtoa huduma ni uyo tangu saa 9 mchana
Lakini kuficha identity pia sio swala zuri unajua kitu share ili kuboroesha huduma
Natamani nimpe hiyo benefit of doubt, ila wala hatukukuta watu pale kituoni, palikua almost empty yaani. I was the only patient.
Sijui lakini, sidhani kama ishu ni uchovu, ila naona ishu ni competency tuu, kwa uzoefu wangu mdogo.
 
Aliniambia binti yangu ambaye ni daktari, '' Baba usiende kwa madaktari vijana, hawa walisoma ili wapate vyeti sio kuelewa''. Na mimi nakubaliana nae kabisa. Bora nitibiwe na nurse mtu mzima kuliko kutibiwa na daktari kijana.
 
Kwa mda ulioenda haukutakiwa kulaumu mtu almost ni asubuhi Kwa vituo vyetu mtoa huduma ni uyo tangu saa 9 mchana
Lakini kuficha identity pia sio swala zuri unajua kitu share ili kuboroesha huduma
Kuhusu ishu ya kuficha identity, sikutaka kujitambulisha kama daktari kwa sababu ingeweza kumfanya asiwe huru au ajisikie inferior au atetemeke na kushindwa kunihudumia vizuri. Naelewa sana presha za hivyo, I was once in those shoes, akija mgonjwa akisema tu yeye ni daktari kuna power fulani una lose na kuwa na wasiwasi fulani. I did not want that.
 
Aliniambia binti yangu ambaye ni daktari, '' Baba usiende kwa madaktari vijana, hawa walisoma ili wapate vyeti sio kuelewa''. Na mimi nakubaliana nae kabisa. Bora nitibiwe na nurse mtu mzima kuliko kutibiwa na daktari kijana.
Na moyo wa kithamini hiyo taaluma ya kuokoa maisha ya watu ndio hawana kabisaa. Last week nilikuwa mkoa fulani nilikwenda hospitalini kupata huduma ya afya madaktari vijana wapo nnje wanaishangaa gari la mwenzao LANDROVER DISCAVAREY imefika mpya Mtumba sasa ndani foleni kubwa wao wanapiga story nnje tena na makoti yao ya kitaaluma, aisee ujana bahna majia moto kweli.
 
Duuuuhhh!! Hatari.
 
Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa.

Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza

We are doomed.
Hakuna Madaktari siku hizi. Hapo hujakutana na physician akushangaze.. Yaani ni hatari sana. Ninawafahamu madaktari kadhaa ambao ilitokea wameunga unga wakaangukia Udaktari, wakalipiwa na mwajiri kwenda MMED. Lkn tunaowafahamu ni hawana passion kabisa na hiyo kazi.
 
Ni wakati Sasa kupitia forum ya wanataaluma wenzio muhamasishane kuipenda kazi yenu

Wiki iliyopita manusura nimpoteze mwanangu kwa uzembe wa daktari aliyemu attend mwanzo

Mtoto alikuwa na mafua, kikohozi lakini kila akijaribu kula alikuwa anatapika

Kwa hali hiyo nikampeleka hizi mnazoita polyclinic

Cha kushangaza, naelezea history ya mgonjwa aliposikia mafua na kikohozi hakuona haja hata ya kumchukua vipimo. Alichofanya ni kuandika dawa za centrizen, ya kikohozi na Panadol tu

Dawa hizo hazikumpa ahueni yoyote mwanangu
Baada ya siku mbili baada ya kuona hawezi kula chochote nikaona nirudi tena pale pale wanapofahamu history ya mgonjwa

Nikajaribu kuforce angalua apimwe damu, choo na mkojo (hii ni baada ya Dr kusema mtoto shida.ni mafua tu)

Vipimo vya lab vikaje negative vyote

Siku iliyofuata mchana mtoto akakakamaa, hajiwezi kwa.lolote, kifupi tulimkimbiza hospital akiwa hajitambui na viungo vyote vimelegea hadi kufumba mdomo hawezi

Kwenda hospital ya rufaa, waliompokea.emegency ilibidi waanze na sindano ya.kurudisha uhai (feno)

Vipimo vya awali vikaonyesha alikuwa na homa kali ambayo endapo tunge delay matokoea yasingekuwa mazuri

Hapo ndo nilipochoka.na.kujiuliza.kwanini hii homa haikuonekana.siku zote wakati nilieleza.mtoto kila akila.ana tapika kiasi cha Dr aliyenipokea.kusema tumezembea kumpeleka mtoto hospital mapema

Kuna madktari wanafanya kazi bila.kujali weledi wa kazi yao hasa hasa hivi vituo binafsi ambavyo Zamani tuliviamini
 
Halafu kuna hili likipimo la pvt sijui nahisi imekuwa lazima unapimwa hata kama hutaki
 
Basi tumekwisha kama nchi!!
 
Juzi kuna daktari alimtesa sana mwanangu
 
Pole sana mkuu. Nakubali kuhusu kukosekana kwa weledi kwenye vituo vingi vya binafsi. Wanaangalia faida zaidi, kwa hiyo wana concetrate kwenye vipimo na dawa za kuwapa hela, ila sio kutoa tiba kwa weledi.
 
Najitahidi sana kuhamasisha vijana madaktari kupitia forums zetu za kitaaluma. Hata hili tukio nimelitolea taarifa kwenyr forum yetu fulani ya kitaaluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…