#COVID19 Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

Chanjo zimekaribia kumalizika mda wa matumizi! Si wazichome kama zimemaliza mda badala ya kulazimisha watu! Wizara imefeli kuhamasisha watu! Chanjo zishamaliza mda wa matumizi hizo sichanji ng'ooo!
Si watangaze tukachukue kadi za ki electronic bure bila kupata jab
 
Kwahiyo unashauri nini?
 
Wewe si uchanjetu basi
 
Inasikitisha. Kuna watu wengi wamekufa kutokana na chanjo. Ushahidi upo mwingi mno, kila mtu anajua. Waache kujipendekeza, hakuna mtanzania atakaye jipeleka kwenye kifo.
Kwani kuna aliyekataa kuwa hakuna waliokufa baada ya kuchanja lakini ni asilimia ngapi kulinganisha na waliochanjwa?ni suala la muda tu lakini hii chanjo itakuwa lazima tu.
 
Umechambua vizuri sana. Congratulation.
 
Kwani kuna aliyekataa kuwa hakuna waliokufa baada ya kuchanja lakini ni asilimia ngapi kulinganisha na waliochanjwa?ni suala la muda tu lakini hii chanjo itakuwa lazima tu.
Never ever hii kuwa lazima
 
Inasikitisha. Kuna watu wengi wamekufa kutokana na chanjo. Ushahidi upo mwingi mno, kila mtu anajua. Waache kujipendekeza, hakuna mtanzania atakaye jipeleka kwenye kifo.
Hans poppe
 
Hiyo ndiyo akili yenyewe ,,,,kama wanakufa ni ushahidi kuwa chanjo ni kanyanga mama ache ujinga ujinga na michanjo feki
 
Madaktari wanapoamua kutoa ushauri ulio kinyume na ethics/ maadili ya udaktari ujue kilichopo nyuma ya ushauri huu ni rushwa au shinikizo toka ngazi za juu na si vinginevyo!! Kwa mujibu wa maadili ya udaktari mgonjwa hapaswi kulazimishwa kutumia dawa yoyote au tiba yoyote au procedure yoyote kwa lazima!! Kwa vyovyote vile nasita kuamini kama huu ni ushauri wao kweli au wamemezeshwa maneno!! Watanzania tuna akili!!
 
Tanzania kuna waganga sio madaktari..badilisha title
 
TUNAKOELEKEA SIKO KBS. !!!

YAANI HII SERIKALI KILA WANACHOPANGA KINAFELI !!!

CHAKUFANYA HAPO, WARUDISHE MAJESHI NA WAJITATHMINI UPYA !! NA WASIWE WANAKURUPUKA KUTOA MAAMUZI BILA KUANGALIA NATURE YA WANANCHI WAO...

NB: SERIKALI IPUNGUZE AU KUACHA KBS TABIA YA KUWA KIGEUGEU.

[emoji117] MADAKTARI WAMECHANJA NA BADO WANAKUFA , SS WATOZONIA TUJIFUNZE NN HAPO??!
 
Tatizo kubwa ya elimu yetu ya kitaaluma sisi Waafrika, kutoka ile ya awali ya msingi mpaka kufikia kiwango cha udaktari wa falsafa inategemea madesa ya Wazungu. Hawa wataalamu wetu wanapotoa ushauri wao hawana rejea zozote za maana zenye kujikita katika mazingira ya "local context" isipokuwa kuhalalisha hoja zao kutoka katika "body of knowledge" na kisha kujengea hoja.

Dunia iliyoendelea ina kila kitu kihusucho machapicho ya kitaaluma katika eneo husika, hasa pale mtu anapotaka kufanya "literature review" juu ya eneo fulani la kitaaluma analotaka kulifanyia kazi. Hapo ndipo hasa wataalamu wetu huja na "cut & paste" na kujifanya kuwa wao ndio wameibua hoja za kitaalamu na kitaaluma.

Huu ni wizi wa wazi wa kazi za kitaaluma. Hoja zao ni "plagiarism" kwa sababu wanaweza kujenga hoja zao kupitia kazi za watafiti wengine ambao wametumia muda wao mwingi katika kufanya tafiti zao kupitia "sample size from their own justifiable population" na kupata msaada wa kihoja kupitia "research methodology" walizotumia.

Kabla ya kuanza kulazimishana kuchanja chanzo ya UVIKO 19, ni lazima waje na rejea za tafiti zilizofanyika hapa nchini. Na pia inapaswa kuangalia rejea nyingine ya tafiti nyingine zilizofanyika hapa Afrika. La sivyo tutaishia kutiana hofu ama kuuana kwa wale wenye uthubutu wa kuhoji kama vile ambavyo ilitokea kwa Ben Saanane.
[emoji2957][emoji849][emoji15]
 
Madaktari wanapoamua kutoa ushauri ulio kinyume na ethics/ maadili ya udaktari ujue kilichopo nyuma ya ushauri huu ni rushwa au shinikizo toka ngazi za juu na si vinginevyo!! Kwa mujibu wa maadili ya udaktari mgonjwa hapaswi kulazimishwa kutumia dawa yoyote au tiba yoyote au procedure yoyote kwa lazima!! Kwa vyovyote vile nasita kuamini kama huu ni ushauri wao kweli au wamemezeshwa maneno!! Watanzania tuna akili!!
 
Reactions: RMC
Wote wanaopinga chanjo kichwani hamna kitu.
Sio chanjo zote zinatoka kwa mabeberu USA

Nchi kama

AustraliaProducing WHO prequalified vaccine(s)
BelgiumProducing WHO prequalified vaccine(s)
BrazilProducing WHO prequalified vaccine(s)
BulgariaProducing WHO prequalified vaccine(s)
CanadaProducing WHO prequalified vaccine(s)
China (People's Republic of)Producing WHO prequalified vaccine(s)
CubaProducing WHO prequalified vaccine(s)
DenmarkProducing WHO prequalified vaccine(s)
FranceProducing WHO prequalified vaccine(s)
GermanyProducing WHO prequalified vaccine(s)
IndiaProducing WHO prequalified vaccine(s)
IndonesiaProducing WHO prequalified vaccine(s)
Islamic Republic of IranNot producing WHO prequalified vaccine(s)
ItalyProducing WHO prequalified vaccine(s)
JapanProducing WHO prequalified vaccine(s)
MexicoNot producing WHO prequalified vaccine(s)
NetherlandsProducing WHO prequalified vaccine(s)
Republic of KoreaProducing WHO prequalified vaccine(s)
Russian FederationProducing WHO prequalified vaccine(s)
SerbiaNot producing WHO prequalified vaccine(s)
SwedenProducing WHO prequalified vaccine(s)
Switzerland

Ni baadhi ya nchi wamegundua chanjo wao wenyewe kwa utalaam wao. Sasa hoja itakuwa na wao hawajui wafanyalo wanataka kuua raia wao wenyewe kwa chanjo waliogundua wenyewe bila msaada wa beberu ,,?

Haingii akilini.
Hapa bongo hatuna uwezo wa kutengeneza au kubuni chanjo lazima itoke nje.
Halafu kuna askofu mtalaam wa kila kitu, 5G yeye mtalaam Uviko ndio bingwa kabisa ana followers pumbafu kama yeye eti kila dose ya kichupa ni mtu mmoja sasa eti kuna serisl number, eti ukichanjwa sababu unaandika jina basi kule USA unaingizwa kwenye benki ya takwimu, wanaanza kukufuatilia.

Sasa hao wa Iran wamekataa chanjo ya USA na mabeberu wengine wamegundua chanjo zao, hizo takwimu zitaenda USA au zinabaki Iran., au kuna mtu kahongwa kule Iran, yaani Ayatolah kapokea rushwa dili la corona.

Hqpo ndipo utakapoona Gwajima alivyojinga sana. Ila wajinga wengi wana mfollow


Corona ipo. Futi 6 kule chini kwenye mwanandani hakuna jf kule acheni upumbafu
 
Kac

Kachanje wacha kiherehere,
Ukishachanja uwezekano wa kufa ni mdogo kwa corona.
Kama marekani watu walipewa dola mia kwani hapa wameshindwa kupat pesa ya msaada ya kuwapa watu hata elfu 20 tu? Wakachanje kwa hiali?
Tatizo mkwanja wale wao halafu wawashinikize wengine kuchanja!!
 
Swala hili kukabidhiwa madaktari wakuu wa mikoa,Kuna hatari mgonjwa wa kawaida kuchanjwa au kujaziwa amechanjwa hata Kama hakuchanjwa.
Haiwezekani maagizo wamepewa ziishe ndani ya wiki mbili vyinginevyo vibarua vitaota nyasi.
Je hao watu 600000 watawapa a wapi?ikiwa kwa karibu miezi 2 ni 400000 tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…