Alafu naskia hata mishahara ya madaktari waliopo kazini imepunguzwa. Huenda siku zijazo watu wakaanza kukimbia hii taaluma.nyumba na chakula!......technically,..kuwakalisha hosteli na msosi wa boarding school...After 5yrs of intense studying & concentration...😡
Mwanzo walikuwa wanakimbilia kwenye siasa huko nako magu kabana hakuna posho za ajabu, wao waisome namba huko huko tuAlafu naskia hata mishahara ya madaktari waliopo kazini imepunguzwa. Huenda siku zijazo watu wakaanza kukimbia hii taaluma.
Itabidi wajaribu UVCCM huenda.....Mwanzo walikuwa wanakimbilia kwenye siasa huko nako magu kabana hakuna posho za ajabu, wao waisome namba huko huko tu
senema ndio kwanza imeanza.....jamaa anajichimbia shimo mwenyewe, kwa manyanyaso haya 2020 kuna viongozi watatembea kwa magoti wakiomba kura....
...Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingii...!