Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Hahahahahahhahaa..... PoooleeeeBora wewe. No nasoma, namaliza, nafuta, naanza upya kusoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahhahaa..... PoooleeeeBora wewe. No nasoma, namaliza, nafuta, naanza upya kusoma.
Hapo ndiyo nimetumia akili yangu na nimeuficha kkwelikweli upumbavu wangu. Tuna uhaba sana was madaktari inabidi waende hadi ngazi za chini hhuko.Ficha upumbavu wako,yani mtu asome miaka mi5 bado umpangie sehem ya kufanya kazi? Tumia akil yako kufikiri.
Wataisoma namba!Aiseee mbona hali itakuwa mbaya sasa.
Watakimbia na nchi pia!Alafu naskia hata mishahara ya madaktari waliopo kazini imepunguzwa. Huenda siku zijazo watu wakaanza kukimbia hii taaluma.
Yes bila shaka wengi wao watatafuta kazi nje ya nchi.Watakimbia na nchi pia!
Nilikuwa na mpango wa kurudi ili kusaidia kupiga hatua katika sekta ya afya....kwa yanayoendelea nimekatishwa sana tamaa, wacha tuendelee kupambana katika nchi za watu.Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Unajua kazi wanazo fanya lakn! au umejikuta umeropoka tu?Hongera mkuu wa Kaya kwa maamuzi sahihi,hawa madaktari wanafunzi wanapewa fedha zisizo na idadi na wanazifuja kwa wanawake na starehe zisizo na tija kwa taifa
Mkurugenzi wa hai hakusoma TIA, huyu aligombea kwa Lazaro Nyalandu....rejea vizuri mkuu unakopi wrong!Mimi siamini kama anajua kuwa Kuna Mkurugenzi kateuliwa akiwa amefukuzwa chuo cha TIA kwa sababu ya uzembe na kukosa maadili. Huyo Bwana aligombea ubunge Kwa Kangi Lugora na amepangiwa kuwa mkurugenzi Wa Wilaya ya Hai.
Pia kuna wakurugenzi wa zamani ambao wamebakizwa ambao utendaji wao ni wa mashaka kuliko hata baadhi ya walioachwa.