Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

Bora wanasheria tuliozoea kujihangaikia, no mkopo no field money nothing from the govt! After 5 good years just like doctors tunahenya tu!
 
Kuna matumizi mengine ya serikali yanakera sana kwa walipa kodi e.g. bado magari ya serikali yanarandaranda mitaani kwa gharama kubwa. Mbona madaktari wanaandamwa sana? Mara waambiwe wanaiba dawa, mara wanapokea rushwa, mwisho wa haya yote mzigo wa huduma mbovu utatuangukia sisi wanyonge
 
Kwani walimu wanafunzi wakiwa field huwa wanalipwa 80% ya mshahara? If no why to doctors? Ifike mahala pasitokee watu kujifanya wao ni peculiar kuliko wengine.

Posho zote Magufuli afute hata za Maaskari kuondoa matabaka na minong'ono kwa watumishi wengine wa umma,
Huo usawa unaoongelea haupo.. Mbona haujalalamika utofauti wa ufaulu wa hao madaktari na walimu ili wadahiriwe kwenye hizo degree.. Fikiria kabla ya kuandika
 
hautokuwa mwisho wa maisha........hata wasipotoa malazi na chakula
 
Hii ni taarifa ngumu kwa jamii ya Tanzania wengi wana kumbuka maafa yanayotokana na madai ya stahiki za hawa jamaa!
Labda mtoa mada ulete source ya habari hii tusije kutokwa na povu la mdomo kumbe ni tetesi tu!

Watanzania ni wepesi kusahau! Interns ndio wanaendesha hospitali iwe muhimbili , bugando na kwengineko! Mtu wa kwanza ku attend mgonjwa ni intern doctor ..

Interns siku zote wakigoma ! Hali inakuwa mbaya! Watu povu zinaanza kuwatoka! .. Hawa watu ( intern doctors) wanastahili kulipwa tena hata hicho wanachopewa hakitoshi huwa wanafanya kazi nzito sana...

Tukiangalia migomo ya nyuma serikali ilifika kipindi hadi kuwafukuza mwisho wa siku ! Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama.. Wanaishia kuwaita kimyakimya baada ya kuona umuhimu wao!

Magufuli ifike kipindi sio kila alichokikuta afumue asuke upya! Aangalie historia inasemaje! Siku zote ugomvi kati ya intern Doctors na serikali! Serikali inaishia ku settle terms na hawa jamaa!

JK hakuwa mjinga kuwapandishia posho intern doctors .. Kwani nchi iliyumba kipindi kile katika secta ya afya!

Ndio maana nasema wacha zibaki tetesi tu! Simba hachezewi sharubu! Ohhhg
 
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.

Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Kodi
 
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.

Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Umenikumbusha muvi ya Samson na delila jamaa alikuwa anakusanya kodi hadi sadaka
 
Kuna kabila ni maarufu kwa ubahiri. Mtu hulala na njaa ukimsachi ana fedha kibao. Unabana matumizi ili hizo hela ufanyie nn. Mie nilidhani matumizi yenyewe ndio hayo
Unajifanya umewasahau wakinga au
 
Kwa Kuwa mkulu kasema saa nyingine analala sijui saa nane usiku kwa kujiridhisha na kasema anasoma maoni mbalimbali nadhani atayaona
 
kumbe tetesi. Serikali hii ipo siku itasingizziwa imehairisha x-mass.
 
kumbuka hawa watu walikua wanapata posho tu ..sasa hata hi posho unatoa unasema utawanunulia ugali na kuwajengea nyumba za kukaa!!!!!kumbuka hawa ni watu ambao wameshagraduate eti? nawalaumu waliopiga kura vibaya tu maana mi yangu nlipiga vizuri
 
Wekeni chanzo cha taarifa basi. tusikurupuke kama tulivyokurupuka kwa kuambiwa kua mfanyakazi wa hotel sinza kateuliwa DED
Nacheka mkuu. Afu baadae tunashushuliwa na rais!
 
Watu wanachangia bila kujua kaz nying wanafanya mainterns hata zam Dr wanawaachiaga wote almost kila kitu wodin wanarun wao for one year or more sasa MTU mmoja bila huruma anasema kuwa posho zao zifutwe bora wange suggest wapunguze kdogo ,real mnatuvunja moyo sana after 5yrs za kusoma sana, watu wakienda Botswana eti sio wazalendo; soon tutaomba madr kutoka Rwanda

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom