Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

nadhani kutakuwa na tatizo kubwa katiko kitengo cha kumshauri rais,anguko linalotunyemelea silipatii picha na wanako elekea ipo siku wataropoka wanataka kuondoa hela ya ya chakula ya askari na hapo ndo watakapo jiroga.
 
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.

Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!

Any human needs food clothes and shelter + entertainment kama watatoa vyote ivyo ni sawa
 
What's wrong with that...so long as an accommodation and meal are of standard order I second the government move!
What's wrong with that........I see nothing right ''with that''..hope we all live to tell.
 
Kuna watu wanapenda wenzao Kucha na Meno vitolewe!!
 
Tuapiga hatua mbili mbele tunaludi kumi nyuma sijui tunako elekea.
 
Dah! Hz nyingine ni mentality za kimaskini tu na sio kubana matumizi kitakacho fuatia ma dr. Wengi watakimbilia kweny NGO's Bdo tutazidi kumchagua huyu jamaa
Natamani MaDaktari wawe wanaajiriwa kwenye NGOs kwa kibali maalum toka kwa katibu mkuu kiongozi and ofcourse ndiyo mapendekezo tuliyoyapeleka.
Zoezi hill liende sambamba na kuhakiki wale waliopo kwenye hizo NGOs.
Inabidi Madaktari wasambazwe had I ngazi vituo vya afya na ikibidi kwenye zahanati ambazo ni high volumes.
Unakuta MD mzima yupo kukusanya data tu kwenye hizo NGOs na kuwapa wengine wakazisome na Ku evaluate n.k.
 
Ianze Hiyo Haraka
Nataka Wanaoishi Kama Malaika Nao Waishi Kama Mashetani.
 
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.

Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!

Watauza dawa na kupokea rushwa kwa wagonjwa ili wapate fedha za mavazi, usafi, matibabu, usafiri na dharura. Huu ni mpango uliopangwa na akili zilizochini ya kiwango cha umaskini wote duniani. Naomb isiwe kweli!
 
Natamani MaDaktari wawe wanaajiriwa kwenye NGOs kwa kibali maalum toka kwa katibu mkuu kiongozi and ofcourse ndiyo mapendekezo tuliyoyapeleka.
Zoezi hill liende sambamba na kuhakiki wale waliopo kwenye hizo NGOs.
Inabidi Madaktari wasambazwe had I ngazi vituo vya afya na ikibidi kwenye zahanati ambazo ni high volumes.
Unakuta MD mzima yupo kukusanya data tu kwenye hizo NGOs na kuwapa wengine wakazisome na Ku evaluate n.k.
Demand ya mamedical personels mtaani ni kubwa sasa huo utaratibu wa kupitia kwa katibu mkuu huoni utachelewesha watu kuanza kazi na vp mtu akinyimwa hivyo vibali?
 
Nadhani hizi ni tetesi.Naomba ibaki kuwa tetesi

Sipati picha mpango mbadala watakaokuja nao.

Lakini ile posho ni huwa 80% ya gross salary sasa kwanini waseme haikatwi kodi?
 
Unadhani kumfanya mtu aishi kama shetani ni mchezo...hahahah...ndio process zake hizo..hatimaye wote tuishi kama shetani

Hakuna kuonga, hakuna kupanda gari, hakuna kula unachokipenda, hakuna kuvaa nguo unayoipenda, hakuna kuongea na watu wanaokosoa serikali vinginevyo na wewe utakuwa mharifu!. Basi tena hayo ndiyo maendeleo ya Tanzania.
 
Hizi tetesi zimekua zinajirudia kila Mara. Naamini hawa jamaa wanakuja na mpango Kazi kwa hili.

Wanatakiwa wafikirie vizuri. Intern anafanya Kazi nyingi sana akiwa hospitali.

Halafu hiyo pesa ya Chakula na Malazi si ndio hiyo wanalipwa Posho??? Katika hizo Hospitali tunazofanya internship ni ngpi Zina Accomodation facilities??
 
hili la kula chakula cha mgonjwa sikubaliani nalo kabisa...
 
Back
Top Bottom