Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What's wrong with that...so long as an accommodation and meal are of standard order I second the government move!nyumba na chakula!......technically,..kuwakalisha hosteli na msosi wa boarding school...After 5yrs of intense studying & concentration...😡
Watakaa wodini na kula chakula cha wagonjwa. Hiyo ndiyo maana ya intern (wa ndani) ila nawaonea huruma kama hii habari ni ya kweli.Hao madaktari hawana nyumba,labda waseme interns watakaa kwenye ward za wagonjwa.
Aisee! kwa hiyo watakuwa wanapishana na wagonjwa koridoni, bafuni chooni, jamani huku si kubana matumizi tunaweza poteza hao madokta kama kutakuja gonjwa baya la kuambukiza, hapo itakuwa hasara au faida?Watakaa wodini na kula chakula cha wagonjwa. Hiyo ndiyo maana ya intern (wa ndani) ila nawaonea huruma kama hii habari ni ya kweli.
Sasa hapo too much dah. SI jambo jema kabisa. Watatengeneza maDr wasiwe efficiencySerikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Sema tutaisoma namba maana sisi ndo wateja wao namaanisha wagonjwawataisoma namba.....! mbele kwa mbele
Serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.