Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

Ficha upumbavu wako,yani mtu asome miaka mi5 bado umpangie sehem ya kufanya kazi? Tumia akil yako kufikiri.
Hapo ndiyo nimetumia akili yangu na nimeuficha kkwelikweli upumbavu wangu. Tuna uhaba sana was madaktari inabidi waende hadi ngazi za chini hhuko.
Ukiangalia aina ya Nazi wazifanyazo kwenye hizo NGOs mpaka unajiuliza hivi ndiyo hawa wanaolalamika kuwa mahospitalini hakuna vitendea kazi!!
 
Hii taharifa haujawa official.. kila mwaka hua kuna zengwe la kulipana hizi pesa lkn mwisho wa siku wanazitoa tu.. Hostel za ma hospitali haziwez kukidhi idadi ya interns..

Wana sema hiyo pesa haina kodi...interns wanalipwa 80% ya mshahara kamili.. Hizo 20% zina enda wapi??

Mtazamo: lengo la serikali ni kuongeza kipato yaan makusanyo ya serikali.. Naona wana lengo la kutaka kusema hiyo hela iwe kama mkopo baadae uilipe au wapunguze kias cha posho ya kulipwa ma interns.. Kumbuka saiv idadi ya interns ni kubwa hadi inafikia hatua ya kuingia internship kwa hawamu..
 
Nilikuwa na mpango wa kurudi ili kusaidia kupiga hatua katika sekta ya afya....kwa yanayoendelea nimekatishwa sana tamaa, wacha tuendelee kupambana katika nchi za watu.
 
Waziri amekanusha baada ta kuuliZwa
 
Hongera mkuu wa Kaya kwa maamuzi sahihi,hawa madaktari wanafunzi wanapewa fedha zisizo na idadi na wanazifuja kwa wanawake na starehe zisizo na tija kwa taifa
Unajua kazi wanazo fanya lakn! au umejikuta umeropoka tu?
 
Ati watapewa nyumba Mbona nyumba ziliuzwa kitambo? Labda watalala wodini au vyumba vya wagonjwa gredi one
 
Mkurugenzi wa hai hakusoma TIA, huyu aligombea kwa Lazaro Nyalandu....rejea vizuri mkuu unakopi wrong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…