Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

Waswahili wana akili sana,walifahamu kuna watu wanaweza kuwatukana madaktari mfano mzuri ni mvumbuzi.

Usitukane wakunga........

Huyo mgonjwa wako akitoka oceanroad atarudi hapo hapo mt meru,mark my words!!
 
Dr inaonyesha ni jinsi gani imekuwa vigumu kwako ku-act professionally kwa jinsi unavyoendeleza malumbano yasiyo na tija.

Sijui kama tulimpata vizuri Mvumbuzi kwamba Dk. Israeli Kassago alikuwa ampatie hiyo drip lakini Nurse akaingilia kati kwa maana ya kumzuia (kumbuka kitendo hiki kilikuwa kinashuhudiwa na Mvumbuzi ambaye ni ndugu wa mgonjwa na ambaye kwa wakati huo alikuwa anaamini kuwa hiyo tiba ingemsadia sana mgonjwa). Huenda wote, the Nurse au the Dr walikuwa sahihi lakini baada ya hicho kitendo hakuna maelezo kwa mgonjwa/mwangalizi mtu anaondoka tu kama anatoka washroom (ukiachia mbali swala la barua ya discharge (i hope ni referral pia) kusubiriwa kwa two hrs hivi bila feedback)

Kwa kujiweka ktk position ya the Dk. Israeli Kassago inakufanya uonekana unprofessional zaidi kuliko the Dr in question. Maswali yako kwanini mgonjwa hakupelekwa Ocean road etc yanatia shaka sana kimaadili. Hapa knowingly or otherwise ni kwamba una -suggest kuwa ilikuwa ni makosa kumpokea mgonjwa hapo MMH in the first place irrespective ya hali yake na kwamba ungekuwa ndiyo incharge usingempokea (Ina-sound kwamba kwako hicho ni kigezo tosha cha kum-treat mgonjwa anyhow - I hope not).

Kauli kama toka lini mgonjwa akajua kuliko daktari (kwenye bold hapo juu) inaonyesha altitude yako inavyopingana na profession ya udaktari. Nafikiri ni ktk hali kutetea umeona utetee anyhow mpaka unakuwa oblivious. Unafahamu fika kuna consultations kati ya Dr na mgonjwa na kama Dr anajua zaidi ya mgonjwa kama unavyodai wewe, si wangekuwa wanaprescribe tu bila ku-consult.

Mimi nafikiri la kujifunza hapa ni kwamba kuna haja ya Drs kuboresha mawasiliano na mgonjwa/ndugu kuhusiana na development za mgonjwa husika (kuna mchangiaji mmoja alizungumzia swala la customer service). Nina hakika kabisa kama siku husika Dk. Israeli Kassago angewashirikisha mgonjwa na ndugu ktk maamuzi aliyofanya hili swala tusingekuwa tunalijadili hapa na kama inavyosemekana kuwa ni Dr Mchapakazi etc etc basi kungekuwa na maelewano mazuri tu kwa sababu angewapa maelezo ya kitaalamu.

All in all tuchukue the positive side of hiyo post kama nilivyoainisha hapo juu na vile vile tu-appreaciate the fact kwamba kuna watu when (perception) offended huwa hawawezi kukaa kimya. Kwa hiyo pamoja na kumtetea Dr elewa kwamba that day huenda aliteleza na kwa bahati akakutana na Mvumbuzi na siyo ku-justfy misconduct ya Dr kwa kuuliza maswali yasiyo na mashiko.

Mo-town unaelewa kwamba most Dokta hasa wa hizi hospitali za serikali wanajua wagonjwa wanaoletwa hospitalini na ndugu zao ni watu wa calibre ya chini kimapato na kielimu. Hivyo Doctors na manurse wanajiona siyo rahisi kuwa consult kwani wako illiterate na siyo rahisi watoe mchango wowote kwa hiyo ni recipients tu wa kile dokta wananchosema. Yaani wana abuse principles za communication kama "two ways traffic au exchange of information" Hii ni dharau ambayo madokta wamekuwa wakiipalilia muda mrefu kwa wagonjwa na ndugu zao.
Inabidi wajue tu siyo wote wanaokuja hapo hospitali ni illiterates na hivyo wahesimu mawazo ya watu na kufanya nao consultation kabla hawajaamua ku-dictate kwa wagonjwa. Kwa wenzetu wa nje mgonjwa ukienda kuonana na dokta ana keti na wewe na mnakuwa na consultation na mwisho wa siku inakuwa rahisi kumsaidia mgonjwa lakini huku kwetu dharau ya madakatari kwa wagonjwa ni kubwa sana. Matokeo yake ndo mtu anathubutu kusema ni ka -upgrade elimu yangu bila kujua nina kiwango gani cha elimu what a naive and poor the commentator Chichi is"
 
Waswahili wana akili sana,walifahamu kuna watu wanaweza kuwatukana madaktari mfano mzuri ni mvumbuzi.

Usitukane wakunga........

Huyo mgonjwa wako akitoka oceanroad atarudi hapo hapo mt meru,mark my words!!
 
Mvumbuzi hujibu maswali! unapoulizwa unadivert kwenye issue nyingine.
 
Kaka umeniuliza nina uhakika gani na hizo transfer.umejikanyaga mwenyewe ndugu yangu,umeandika walisuspect ana escc(esophageal squamous cell carcinoma).mgonjwa kama huyo direct watakuambia uende ocean road coz escc is radiosensitive.nina uhakika mgonjwa wako alikuwa na uwezo wa kumeza liquid foods otherwise usingeandika kuwa mgonjwa ana uwezo wa kutembea coz mtu ambaye angekuwa hypoglycaemic kutokana na kutokula angekuwa weak and bed ridden.also i believe ungeongea na dr.israel personally umueleze malalamiko yako coz kulalamika hapa does not gurantee kwamba ataiona hii thread so point yako kuwa hii ni changamoto kwake is invalid

Siwezi kuongea na Dr. Israeli Personally kwani huwa siyo style yangu ya kufanya mambo na kumbuka hapa ningekuwa na tengeneza avenue for corruption. Pia ningempata wapi wakati alitukimbia akatuacha wodini bila kuaga?

Dr. Chichi be cautious kwani naona unaingia kwa nguvu sana kwenye mjadala ambao naona unakwenda kuondoa confidentiality ya mgonjwa . Na hii ni kinyume na kiapo chenu cha udaktari na ndio maana nilikwenda mbali nikakwaambia umebakiza kutaja tu jina sasa. Be carefully kwani by any measure I can track you easily na nika file case against you najua sheria gani itakubana. Unaweza ukajikuta upambe unakuponza kama hutaweza kuvumilia ku discuss issue hapa bila ku- expose masuala nyeti ya mgonjwa kwani humtendei haki. Na hii pia inanipa tena hofu ya aina ya madaktari mlioko hapo Mt. Meru kwani kwa hii tabia unaonyesha huna maadili ya kazi kwa ujumla . If this is the case how can we trust your arguments and comments on this thread wakati na wewe si msafi. Ili kumsafisha mtu unatakiwa uwe msafi kuliko yeye sifa ambayo huna.
 
Waswahili wana akili sana,walifahamu kuna watu wanaweza kuwatukana madaktari mfano mzuri ni mvumbuzi.

Usitukane wakunga........

Huyo mgonjwa wako akitoka oceanroad atarudi hapo hapo mt meru,mark my words!!

Maswali mengine tutawapelekea baby class wakishajibu nitaleta majibu mkuu
 
Mvumbuzi hujibu maswali! unapoulizwa unadivert kwenye issue nyingine.

Hii thread niliyoleta hapa ni ya kutoa taarifa na kilio changu kwa kilichofanyika kwa hiyo hata nikijibu maswali haitasaidia kwani cha muhimu ni ninyi kuelewa kwamba nimepaza sauti yangu na kwa kiasi kikubwa imefika.
Your responses and reactions are indisputable proof that my concern has reached not only the right place but also the right people if not the stakeholders.

Hoja zetu nilizokuwa najibu hapa ni just ku-clarify response then ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa skewed or twisted ili kuwaondoa katika lawama hii. Na mimi ninaamini lengo langu tayari limetimia na nimeridhika na ninaamini negligence iliyofanyika matajitahidi msiirudie tena.
 
I am tempted to write an "eassy" on this topic lakini nimegundua kwamba mleta mada has just decided to report, proceed and finally judge all Dr. of Mt. Meru hospital and expect all of us just to agree with his/her motion... SI SAHIHI!!!

Mvumbuzi umeleta hoja, umeulizwa very basic but relevant questions umeshindwa kujibu, ukipewa isight ya wataalam unakuja juu and judging anyone else as a person with attitude, but you have some serious attitude my friend!!

Your case is excellent ili kusaidia improvement ya quality of service, wizara pamoja na wadau wameanzisha special assignement weneywe wanaita "CONTINUOUS QUALITY IMPROVEMENT" - kwa ajili ya health care delivery points of services, you case would be a very nice avenue ya kuonyesha wapi tunakosea

Binafsi najua issue ziko sehemu nne,

  1. hao wauguzi na daktari - hawatoi full information kwa wagonjwa na wasaidizi wa wagonjwa
  2. Wewe au wagonjwa mara nyingi tunakaa kimya and we only speak out of frustration, which means tayari mood siyo yenyewe
  3. we dont know system ya utoaji tiba na hatuulizi na hatuambiwi
  4. Kibaya zaidi ni jinsi tunavyoshindwa kuelewa hali ya kila mmoja wakati wa kuuguliwa haiwezi kuwa best environment kama sherehe vile ambapo kila mtu atafanya unachoexpect
Ushauri wangu: Ripoti kesi hii, upate undani, uone nini kilitokea nk. utajifunza mengi sana

PS: Haya majibu ya kusema hakupimwa ila hana ukimwi tulipima selian sidhani kama yanaonyesha kuwa unajali, HIV haiui kinachoua ni magonjwa nyemelezi ndugu yangu... CHANGE YOU ATTITUDE TO SAVE LIVES!!

Nikuambie tu ndugu yangu wengi wanaopingana na mimi hapa ni madokta wa hii hospitali na wengine ni nawafahamu. Kujibu ninavyojibu nina fanya deliberately na sio kwamba sina majibu lakini sio kila kitu ni cha kutolea jibu. Hivi unataka nikiulizwa i ninapokutana na mke wangu kitandani huwa ninafanya nini basi nijibu kirahisi tu? Mimi siyo zuzu kwani kuna siri za mgonjwa hapa na mimi siwezi kujibu kila kitu hata ambacho hakitajenga wala kusaidia. Kwa hiyo usitegemee nijibu kila swali hata ambalo halina maana kwani hapa hatufanyi job interview.
 
You can never ever convince me with your extremely weak arguments. Hoja zako uwashauri watoto wachanga waliozaliwa leo ambao hawajui system ya nchi hii inavyofanya kazi. Mimi ni mtu mzima na Muhuni hatetei wanyonge ila wahuni ni wale wote wanao-support madaktari wasio zingatia maadili ya kazi zao na hivyo kusababisha mateso na vifo vya wagonjwa. Kwa mtu timamu akiniweka mimi katika mizani hatahitaji interpretor wakueleza nani muhuni na nani muungwana. Na bvious hata kama tungekuwa na kipimo cha kupima tabia lazima percentage za uhuni kwako zingepanda mpaka 90%. Wanasema watu waliofilisika hoja always wana bank kwenye matusi na maneno ya kuwadhalilisha wenzao kwani convincing power inakuwa imefikia ukomo kama ilivyofikia kwako. Cha kufanya hapa mkuu pumzika sio lazima uchangie au kalale inawezekana akili zikacharhe tena ukapata point ila kwa sasa utaanza kutukana kwani hoja zako zinakoelekea sio kuzuri be careful.

yawezekana niliku-grade kama mtoto kwa sababu thinking yako ni abstract.
Hakuna sehemu uliothibitisha kuwa madaktari wa mt meru ni wauaji au wahuni,hivyo unaposema mimi ni muhuni au nawatetea wahuni sikuelewi kabisa.
Kama huamini uongozi wa hospital,mahakama zetu,baraza la madaktari tutakusaidiaje?halafu nina wasiwasi utasema hata hii forum hakutendei haki!
 
Mvumbuzi sasa unachekesha,unanitolea vitisho?be carefull kijana,angaliua comment zangu nimeanza kuutaja ugonjwa baada ya wewe kuanika uwanjani kuwa diagnosis ni escc so usinlete za kuleta.we jibu maswali.i know wt i swore to and i stick to it.naona maji yanakufikia shingoni i rest my case.wanaokupinga they are tryin to show you wat u should ve done,sasa naona its impossible wewe kuelimika juu ya hili suala
 
Waswahili wana akili sana,walifahamu kuna watu wanaweza kuwatukana madaktari mfano mzuri ni mvumbuzi.

Usitukane wakunga........

Huyo mgonjwa wako akitoka oceanroad atarudi hapo hapo mt meru,mark my words!!

Woh...what? tafadhali sana weka akilini mwako kuwa mgonjwa ni mfalme kwa daktari popote pale duniani, hivyo mgonjwa akirudi Mt Meru hata kama aliwatukana madaktari still they must maintain dignity and respect to the patient,whether they like or not must provide the best care irrespective of Bad uchumi or Bad siasa we have, ni kitu cha ajabu kidogo, nilivyokuwa mdogo nakumbuka Doctor mmoja aliitwa Dr Mwaisela alikuwa ni mtoto wa Mwaisela original ambaye kwa heshima yake leo pale Muhimbili pana ward ya jina hilo, basi yule bwana alikuwa anawapenda wagonjwa hakuna mfano mpaka wengine alikuwa anakuja anashinda nao nyumbani au siku zingine anashinda Hospitalini mpaka usiku wa manane (kumbuka siku hizo hakuna hii kitu overtime) lakini huu udaktari wa siku hizi upo so diluted! hata mzee wa Samunge ana huruma kuliko doctors wetu wengine!
 
kaka madudu kweli yapo and if the only way to solve them is by exposing thm then by all means lts do it.nakubali watu cku hz wameelimika na wanazijua haki zao but from a medical point of view the management of this patient remains as it is.for his disease the only place ya msaada ni orc.as a doctor nakubaliana na wachangiaji coz changes will make my work easier and i welcome them but ndugu yetu mvumbuzi thread yake ni ya jazba and not constructive @ all.ingekuwa huyo mgonjwa ws not managed well believe me hata mimi ningemsupport mvumbuzi regardless of the fact that i work here

Angalia hapo kwenye red Dr. Chichi. You're very judgmental badala ya kukubali ukweli wa hii thread. Labda nikuulize swali, kama ungekuwa mimi ungereact vipi ili usiambiwe una jazba?
Jazba umeiona kwa sababu hii thread imeku-irritate na naomba ujue kuwa na jazba siyo dhambi na kwa taarifa huwezi kufanyiwa maudhi kama haya bado ukawa katika hali ya kawaida kwani hata mimi naona kama nimejitahidi sana ku-exercise restraint.
 
yawezekana niliku-grade kama mtoto kwa sababu thinking yako ni abstract.
Hakuna sehemu uliothibitisha kuwa madaktari wa mt meru ni wauaji au wahuni,hivyo unaposema mimi ni muhuni au nawatetea wahuni sikuelewi kabisa.
Kama huamini uongozi wa hospital,mahakama zetu,baraza la madaktari tutakusaidiaje?halafu nina wasiwasi utasema hata hii forum hakutendei haki!

Wahenga wanasema mtu asiye na hekima unatakiwa umdharau upite zako asije akajitapisha akafikiri anakukomoa wewe! . Ushauri wa bure nikwamba kama mahakamani ni kurahisi sana kwenda basi ninyi niliowasemea uongo basi anzeni kunishtaki.

Naishukuru sana jamii forum na ninaiheshimu kwa arena of freedom of expression.
 
Siwezi kuongea na Dr. Israeli Personally kwani huwa siyo style yangu ya kufanya mambo na kumbuka hapa ningekuwa na tengeneza avenue for corruption. Pia ningempata wapi wakati alitukimbia akatuacha wodini bila kuaga?

Dr. Chichi be cautious kwani naona unaingia kwa nguvu sana kwenye mjadala ambao naona unakwenda kuondoa confidentiality ya mgonjwa . Na hii ni kinyume na kiapo chenu cha udaktari na ndio maana nilikwenda mbali nikakwaambia umebakiza kutaja tu jina sasa. Be carefully kwani by any measure I can track you easily na nika file case against you najua sheria gani itakubana. Unaweza ukajikuta upambe unakuponza kama hutaweza kuvumilia ku discuss issue hapa bila ku- expose masuala nyeti ya mgonjwa kwani humtendei haki. Na hii pia inanipa tena hofu ya aina ya madaktari mlioko hapo Mt. Meru kwani kwa hii tabia unaonyesha huna maadili ya kazi kwa ujumla . If this is the case how can we trust your arguments and comments on this thread wakati na wewe si msafi. Ili kumsafisha mtu unatakiwa uwe msafi kuliko yeye sifa ambayo huna.

kwa nini uliogopa kumface dr israel?huna confidence?thats why hii stori yako imekaa kimajungu.
Kuhusu confidentiality
ya mgonjwa mimi nilishaliona hili(rejea posts zangu za awali)
lakini lawama zote zitakurudia muanzisha thread kwa sababu hukupenda kufuata utaratibu nilioupendekeza tangu awali na ukaamua kuja kihuni,kutaja majina ya madaktari n.k.
Usijitetee! hukujua ukimwaga ugali wenzako wanaweza kumwaga mboga?sasa nakuonea huruma halafu ngoja na huyo dr.israel aingie humu jamvini sijui patakuaje.

Halafu unatishia ku-track mtu,hujui kwamba watu walishaku-track.
 
Mvumbuzi sasa unachekesha,unanitolea vitisho?be carefull kijana,angaliua comment zangu nimeanza kuutaja ugonjwa baada ya wewe kuanika uwanjani kuwa diagnosis ni escc so usinlete za kuleta.we jibu maswali.i know wt i swore to and i stick to it.naona maji yanakufikia shingoni i rest my case.wanaokupinga they are tryin to show you wat u should ve done,sasa naona its impossible wewe kuelimika juu ya hili suala

Hapa hatushindani kujua nani ni nani lakini inaonyesha wewe umekuja kwa staili hiyo. Nimeumizwa na ninatoa hoja hii tuelimishane na watu wenyewe waamue kama kilichofanyika ni sahihi. Ikitoka hoja ya msingi nitaikubali ila wewe unaonekana ni Dokta wa Mount Meru na katika hali ya kawaida huwezi kumtetea mgonjwa at any cost kwani hapa utakuwa umefanya kosa la maisha kwa sababu utakitia kitumbua chako matatani. Kwa sitegemei wewe kukubali niliyoandika na usitegemee mimi ku back down kwani najua kilichofanyika. Hukuwepo na umeelezwa ila mimi nilikuwepo. Inakuwaje wewe ambaye hukuwepo unaamini maneno ya kuambiwa na mtu anayejitetea wakati unajua hataweza kukubali kuwa linalosemwa ni kweli na naomba nisamehewe.

Mimi maji hayajanifika shingoni kwani hii siyo mahakama bali tunashauriana hapa. Kama umekuja kwa lengo la kunishinda bado unaweza kushinda na bado nikawa maji hayajanifika shingoni lakini all in all inategemea intention yako iliyokuvuta katika huu mjadala. It's not good to expose your weakness or arrogance every where" sio lazima kila mtu ajue wewe ni mkandamizaji wa haki za wagonjwa naomba mwogope Mungu. Kwanza ni conflict of interest rafiki wa Dr. Israeli kuchangia hii mada kwani lazima utamtetea as your are all partaking from the same cup.

Sitegemei wewe kuongea lugha tofauti na Dr. Israeli na yule nurse pamoja na watu wengi kukueleza jinsi unavyo distort ukweli hapa.
 
Aisee nimekumbuka!ile video ya hili sakata bado haijakamilika kutengenezwa?hebu ilete jamvini tuwekane sawa!
 
kwa nini uliogopa kumface dr israel?huna confidence?thats why hii stori yako imekaa kimajungu.
Kuhusu confidentiality
ya mgonjwa mimi nilishaliona hili(rejea posts zangu za awali)
lakini lawama zote zitakurudia muanzisha thread kwa sababu hukupenda kufuata utaratibu nilioupendekeza tangu awali na ukaamua kuja kihuni,kutaja majina ya madaktari n.k.
Usijitetee! hukujua ukimwaga ugali wenzako wanaweza kumwaga mboga?sasa nakuonea huruma halafu ngoja na huyo dr.israel aingie humu jamvini sijui patakuaje.

Halafu unatishia ku-track mtu,hujui kwamba watu walishaku-track.

You're kidding yourself;siogopeshwi, sitishiwi na huwa siogopi mtu bali Mungu tu sina muda wa kupoteza kwenda kuweka vikao visivyo na tija.

Siogopi kuwa tracked kwani najua nilichosema ni ukweli na you may call me anywhere na sitaogopa kuja kwa sababu najua rekodi za mgonjwa zipo hapo kwenu na siyo confidential.

Mimi ungenifahamu ungegundua kwamba uongei na mtu narrow minded bali mtu anayejua anafanya nini na kwamba kuandika hii thread sikukurupuka kwani niko tayari kuja na mgonjwa na akaeleza scenario yote na ukamwona daktari akishindwa mbele yako. Sina tabia ya kumwonea mtu ila wewe kuwadi unatetea usichokijua.

Hata kama Dr. Israeli akiingia humu of which naamini ameshasoma hii thread nitaendelea kumweleza alifanya mistake and will be standing to be corrected if I'm wrong.
 
Aisee nimekumbuka!ile video ya hili sakata bado haijakamilika kutengenezwa?hebu ilete jamvini tuwekane sawa!
 
Kaka i rest my case.you are beyond an intelectual discussion.we took an oath and by God we shall stand by it.we shall treat every patient with dignity respect and love despite of what you call us or say about us,sioni umuhimu wa kuwaonea wagonjwa because of your pathetic opinions.kaka hata ukimrudisha mgonjwa wako we will welcome him with both hands.watu wana mentality that we doctors are heartless and after money but God knows we do feel your pain and we try our best to help u.mvumbuzi nimejaribu kukueleza management ya mgonjwa wako it seems u r still arrogant,anywayhukunisomesha wewe wala hukunipa degree wewe mimi nitatibu kama nilivyofundishwa na walimu wangu.case over
 
Back
Top Bottom