I am tempted to write an "eassy" on this topic lakini nimegundua kwamba mleta mada has just decided to report, proceed and finally judge all Dr. of Mt. Meru hospital and expect all of us just to agree with his/her motion... SI SAHIHI!!!
Mvumbuzi umeleta hoja, umeulizwa very basic but relevant questions umeshindwa kujibu, ukipewa isight ya wataalam unakuja juu and judging anyone else as a person with attitude, but you have some serious attitude my friend!!
Your case is excellent ili kusaidia improvement ya quality of service, wizara pamoja na wadau wameanzisha special assignement weneywe wanaita "CONTINUOUS QUALITY IMPROVEMENT" - kwa ajili ya health care delivery points of services, you case would be a very nice avenue ya kuonyesha wapi tunakosea
Binafsi najua issue ziko sehemu nne,
- hao wauguzi na daktari - hawatoi full information kwa wagonjwa na wasaidizi wa wagonjwa
- Wewe au wagonjwa mara nyingi tunakaa kimya and we only speak out of frustration, which means tayari mood siyo yenyewe
- we dont know system ya utoaji tiba na hatuulizi na hatuambiwi
- Kibaya zaidi ni jinsi tunavyoshindwa kuelewa hali ya kila mmoja wakati wa kuuguliwa haiwezi kuwa best environment kama sherehe vile ambapo kila mtu atafanya unachoexpect
Ushauri wangu: Ripoti kesi hii, upate undani, uone nini kilitokea nk. utajifunza mengi sana
PS:
Haya majibu ya kusema hakupimwa ila hana ukimwi tulipima selian sidhani kama yanaonyesha kuwa unajali, HIV haiui kinachoua ni magonjwa nyemelezi ndugu yangu... CHANGE YOU ATTITUDE TO SAVE LIVES!!