Madaktari wengi ni misukule walio hai

Hueleweki wewe! Nimekuelezea hapo bado unakaza fuvu! Alafu sikia hakuna sehem kuna conclusion kwamba gonjwa fulan halina dawa big no ni hakuna dawa kwa wakat huu lakin tafit zinaendelea na zingine zinaleta matokeo safi lakin zina zimwa na watu fulan wenye nguvu na mslahi kwenye hii industry. Kwaiyo ww tulia hujui lolote tuliza komwe hilo
 
Rudia alichoandika mtoa mada... Halafu ukomenti tena
 
Kuna magonjwa kama Hepatitis B na HIV

Kwanini umestick na cancer tu ?... Dr MJ amejaribu kueleza kwa kina, lugha nyepesi na mifano , binafsi nimemuelewa sana.

Ukifika stage ya acceptance labda utaweza kuelewa. Kwa sasa ni ngumu maana hisia zimezidi fikra.
 
Ndani ya taaluma ya udaktari, kuna specialities nyinginyingi kama dentistry, surgical, orthopedics, ophthalmology, gynaecology na nyingine nyingi tu. Nadhani hizi tuhuma zinawalenga zaidi MD GP (Medical doctors General practitioners) ambao wengi wao wamebaki kuwa prescibers tu wa dawa sio watafutaji wa suluhu ngumu za kiafya.
Ukifuatilia kazi za hawa GP wengi zimerahisishwa sana hata hamna kuumiza kichwa kabisa, kwanza mgonjwa wa OPD anafika, nesi anachukua VITALS zote kisha anamtuma kwa daktari. Daktari anamsikiliza mgonjwa dalili zake kisha wataalam wa maabara/radiology wanatumiwa request ya kumpima huyu mtu. Hapa sasa unaona kazi nyingi na ngumu zimeshafanywa na wengine, daktari Gp ana sehemu ndogo sana ya maamuzi.
 
A very constructive discussion though katika lugha ngumu sana. Kama una kisukari/presha ukisoma lugha anazotumia mleta mada na ni daktari utakata moto mapema. Though kwa akina sie tunajifunza no mara waah!!!

Diskasheni iendereeee.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo huna bayaaa
 
Unaongelea madaktari wakata K wanaomuandikia mgonjwa presciption ya dawa kwa ku-google?
Kuna jamaa mmoja alikuwa analazimisha kuwa wife ana mimba kisa kashindwa kujua tatizo lake baada ya vipimo vya maabara. Nilimdharau sana yule mshikaji kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujajibu hoja, zaidi umemshambulia wizo wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe cancer ndo inakua hivi? Sasa kwann wataalamu wasitafute suluhisho la hizo cells kukua hovyo au tofauti na mpangilio unaotakiwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wizoo una nn lakiniii?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…