KERO Madalali na wasambaza nyaraka wa mahakama kuu wengi kutokuwa na ofisi na maghara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata.

Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu wafawidhi wa mikoa wanapitisha watu wao wanaowapenda wao kwa maslahi yao kitu kinachopelekea madalali wengi kuacha kuomba kwani kunakuwa na doubl standard.

Mfano mkoa wa Rukwa kuna dalali wa mahakama mmoja tu Mark Msilu ambaye hana ofisi wala ghara la kuhifadhia vitu wengine woye wameacha kuomba baada ya kuona uongozi wa mahakama wanampendelea mtu asiye nasifa.

Bado kuna urasimu katika kazi ya udalali wa mahakama viongozi wa mahakama wanapokiwa na chuki na madalali waliowaadilifu.
 
Habari,

Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata.

Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu wafawidhi wa mikoa wanapitisha watu wao wanaowapenda wao kwa maslahi yao kitu kinachopelekea madalali wengi kuacha kuomba kwani kunakuwa na doubl standard.

Mfano mkoa wa Rukwa kuna dalali wa mahakama mmoja tu Mark Msilu ambaye hana ofisi wala ghara la kuhifadhia vitu wengine woye wameacha kuomba baada ya kuona uongozi wa mahakama wanampendelea mtu asiye nasifa.

Bado kuna urasimu katika kazi ya udalali wa mahakama viongozi wa mahakama wanapokiwa na chuki na madalali waliowaadilifu
Niliwahi kupata ajari na gari yangu ikapinduka baada ya kukamilisha taratibu za kipolisi wakati najichanga nilienda kulihifadhi hilo gari kwenye ghala la Mark Msilu maeneo ya Kisiwani,ana ghala kubwa tu pale na nilikuta gari mbili ambazo alikua kahifadhi hapo,sasa sjui wewe unamuongelea Mark Msilu Gani?
 
Back
Top Bottom