[emoji1787][emoji1787][emoji38]Ushapita kwa sossy magari wewe?
Anakwambia gari haiwaki labda uitie kiberiti
Nafananisha madalalΔ± wa kibongo sawa na walinzi wa bongo movies. Unakuta nyumba nzuri ina thamani balaa ila mlinzi kichaa au hamnazo.....ndivyo walivyo madalali wa kibongo.Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu
"Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu"
"Gari ya mdada"
"Gari ya baba mchugaji hii"
"Gari ya mrembo wa kiarabu"
"Chuma Haina kipengere(ni kama wote walishakubaliana kutotumia neno kipengele kabisa wote wanaandika kipengere)
Ukikuta gari zile za zamani namba A na B wanakuambia "chuma imekaza balaa, ni kuweka wese na kuondoka"
" Lete hela haraka tajiri ameshavurugwa akili"
Kuna magari hata hawaweki hata basic information kama yom,cc,odometer ,yaani ni kutia udamvi udamvi
Au labda uiwashe makofi πUshapita kwa sossy magari wewe?
Anakwambia gari haiwaki labda uitie kiberiti
Ina maana yeye aletewe yake anayotaka,ya udalali anatoa laki mbiliNatoa box mbili..
Hadi leo uwa sielewi maana yake nini.
Sasa wawe wanasema Laki 2 bwana.Ina maana yeye aletewe yake anayotaka,ya udalali anatoa laki mbili
Mkuu wana njaa sana hawana ajira kama yako. Waonee huruma tu.Kudeal na madalali wa kibongo kunatakiwa kuwa na moyo aisee. Binafsi sidhani kama wanajitambua akili hawa watu, utakuta mtu unamwambia dalali nataka nyumba ya aina fulani na anakuambia ipo, mnaenda kuona hiyo nyumba unakuta siyo kisha anakuambia "hata hii poa tu" haina tofauti sana na ile uliyoitaka. Nakiri kusema kuwa Madalali wa kibongo hawana akili na hawajuwi kazi yao, ni wababaishaji mno.
Ni rejesta zao,ndio maana haukuelewa maana wewe haijakuhusu,Kila sehemu na rejesta zake ,kama ilivyo Kuna maneno yapo jamii forum hauwezi kuyakuta kwingineSasa wawe wanasema Laki 2 bwana.
Hizi lugha ni za siri kumficha mteja, mfano sisi ambao mara nyingi tunasafiri na gari binafsi kuna lugha ya pesa wanatumia wale madalali wa abiria, ukiingia kichwa umepigwa. Unajua kuna pesa inaitwa mpira, paa, mpira paa, mbasa, talaa? HahahahaSasa wawe wanasema Laki 2 bwana.
Unataka gari gani nauza hilux na ist yanguWiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu