Madalali wa magari wanavyochelewesha biashara

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo?

Nimegundua madalali wanamambo ya kijinga sana hawajui nini maana ya kamishen N.K yaani anataka kuuza juu na kamishen kote kwamuuzaji na mnunuz anataka..

Huu ni upuuzi wa mwendokasi nyinyi wauzaji anzeni kuchangamka kutumia mitandao wenyewe mkutane na mnunuzi mojakwamoja...

NATAFUTA GAR...VITS,/IST 6 MIL
0714045080
 
Kama Pale Mlimani City Kumejaa Utitiri wa Hawa Watu Ujanja Ujanja Tu.

Funny Thing Almost Wote Wamejenga....Hahaha Ukiwaona Wanavyo Vimba Showroom za Watu Huwezi Amini Ni Madalali. Hahaha

Hata siku moja hawazungushi kwa mitaji yao...wao wanakuuzia picha ya kwamba wao ni car dealership kumbe vivuli tu...ukikaa vibaya unajaa
 
Wanakupasua
 
Dalali kiumbe kingine ,ila 6M kwa ist na zilivo na soko huwez kupata
 
Sasa utafanyaje kupataa muhusikaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…