Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo?
Nimegundua madalali wanamambo ya kijinga sana hawajui nini maana ya kamishen N.K yaani anataka kuuza juu na kamishen kote kwamuuzaji na mnunuz anataka..
Huu ni upuuzi wa mwendokasi nyinyi wauzaji anzeni kuchangamka kutumia mitandao wenyewe mkutane na mnunuzi mojakwamoja...
NATAFUTA GAR...VITS,/IST 6 MIL
0714045080