P Paploman JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 1,759 Reaction score 3,452 Nov 10, 2024 #41 Robert Heriel Mtibeli said: Milioni 300 haitoboi Mkûu. Kwamba hiyo Nyumba thamani yake Milioni 20aeneo hayo ndio naishi Mimi mitaa ya kantina hapa Goba. Click to expand... Kwa bei ya sokoni 300m inafika mkuu usikatae. Mwezi uliopita huyo mmiliki wa kantina kauza uwanja 500m hapo pembeni yake
Robert Heriel Mtibeli said: Milioni 300 haitoboi Mkûu. Kwamba hiyo Nyumba thamani yake Milioni 20aeneo hayo ndio naishi Mimi mitaa ya kantina hapa Goba. Click to expand... Kwa bei ya sokoni 300m inafika mkuu usikatae. Mwezi uliopita huyo mmiliki wa kantina kauza uwanja 500m hapo pembeni yake
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Nov 10, 2024 #42 magnifico said: Kwenye hizo site utaishia kukutana na madalali. Click to expand... Watu wakishazoea na kujua utaratibu hakutakuwa na kitu kama hicho. Na zaidi kuna njia nyingi tu za kuzuia hili lisitokee.
magnifico said: Kwenye hizo site utaishia kukutana na madalali. Click to expand... Watu wakishazoea na kujua utaratibu hakutakuwa na kitu kama hicho. Na zaidi kuna njia nyingi tu za kuzuia hili lisitokee.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Nov 10, 2024 #43 Hizo Nyumba ni tofauti kabisa. Sema tu zimefanana sana. Moja iko 400m kutoka Lami, nyingine iko 450m. Moja ina 1200sqm na nyingine 1900sqm. Moja ina 5Rooms ilhali nyingine 4Rooms.
Hizo Nyumba ni tofauti kabisa. Sema tu zimefanana sana. Moja iko 400m kutoka Lami, nyingine iko 450m. Moja ina 1200sqm na nyingine 1900sqm. Moja ina 5Rooms ilhali nyingine 4Rooms.
Friji la mtumba Senior Member Joined Apr 7, 2024 Posts 119 Reaction score 154 Nov 26, 2024 #44 Bush Dokta said: Tanzania hii hakuna mtu ana kera kama Dalali. Wana Tamaa mpaka basi. Haradu wanachukulia maisha poa sana Click to expand... Hahahah kwanini mkuu?
Bush Dokta said: Tanzania hii hakuna mtu ana kera kama Dalali. Wana Tamaa mpaka basi. Haradu wanachukulia maisha poa sana Click to expand... Hahahah kwanini mkuu?
S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Nov 27, 2024 #45 Nyumba Tanzania haiwezi kuwa bei hiyo