Milioni 300 haitoboi Mkûu.
Kwamba hiyo Nyumba thamani yake Milioni 20aeneo hayo ndio naishi Mimi mitaa ya kantina hapa Goba.
Kwa bei ya sokoni 300m inafika mkuu usikatae.
Mwezi uliopita huyo mmiliki wa kantina kauza uwanja 500m hapo pembeni yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni 300 haitoboi Mkûu.
Kwamba hiyo Nyumba thamani yake Milioni 20aeneo hayo ndio naishi Mimi mitaa ya kantina hapa Goba.
Watu wakishazoea na kujua utaratibu hakutakuwa na kitu kama hicho. Na zaidi kuna njia nyingi tu za kuzuia hili lisitokee.Kwenye hizo site utaishia kukutana na madalali.
Hahahah kwanini mkuu?Tanzania hii hakuna mtu ana kera kama Dalali.
Wana Tamaa mpaka basi. Haradu wanachukulia maisha poa sana