Madalali wa nyumba wanaharibu biashara ya kukodi na kuuza nyumba na viwanja (real estate)

Madalali wa nyumba wanaharibu biashara ya kukodi na kuuza nyumba na viwanja (real estate)

Milioni 300 haitoboi Mkûu.
Kwamba hiyo Nyumba thamani yake Milioni 20aeneo hayo ndio naishi Mimi mitaa ya kantina hapa Goba.

Kwa bei ya sokoni 300m inafika mkuu usikatae.


Mwezi uliopita huyo mmiliki wa kantina kauza uwanja 500m hapo pembeni yake
 
Hizo Nyumba ni tofauti kabisa.
Sema tu zimefanana sana.
Moja iko 400m kutoka Lami, nyingine iko 450m.
Moja ina 1200sqm na nyingine 1900sqm.
Moja ina 5Rooms ilhali nyingine 4Rooms.
 
Back
Top Bottom