Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Binadamu pindi anapoishi hawezi kurudi nyuma, bali hukubali yaliyotokea na kuwa makini yasijirudie endapo yalimuumiza ama kumkwamisha.
Je una kipaji gani
Ulijifunza au inborn

DJ sepetu
 
Uandishi wa mashairi. Natamani kuandikia hasa wasanii nyimbo ila sijui wanazinunuaje maana naweza andika hata 10 kwa siku unanipa idea tu
Hongera je kuna tofaut ya msanii Na mwanamuziki
Ipi

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…