Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Shame on her ..! Lakini katika umri wa 20 tayari alikuwa keshapigwa 2 bila..Mzee Mengi alikuwa na mke wakati anatembea na Rita,siku hizi watu hawaogopi kabisa kusema kuwa alikuwa anatembea na mume wa mtu.
Mkono mtupu haurambwiKwakua mapenzi/upendo ni kitu mtambuka.....
Basi huyu mama asitudanganye, bora aseme tu wazi kwamba hakuna mwanaume aliekua anampa pesa kama marehemu mzee Mengi.
Ukweli ni kwamba pesa ndio hasa iliyo mtuliza Madame kwa mzee Mengi.
Naukweli hata Jacky aliamua kuolewa na mzee Mengi kwasababu mzee alikua anaukwasi wa maana.
Subhanallah!Ila Rita alipigika sana enzi zake, watu walikuwa wanamvua tu chupi kisa alikuwa na tamaa sana ya hela na ndiyo inayomuweka mjini.
Wezi wawili wenye mbinu "mlinganyo sahili"!Jack anajisikiaje huko aliko
Sii mbususu zinajileta zenyewe mwanaume afanye niniPamoja na mahaba yote ya mtoton Jacky bado mzee alikua anapasha kiporo,?
Wacha tutafute ndalama ili tuwale vizuri waremboMkono mtupu haurambwi
Tafuta pesa uishi vizuri, ukishindana na mashimo ni sawa na kukimbiza upepo.Wacha tutafute ndalama ili tuwale vizuri warembo