Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi.
Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald Mengi.
Madam Rita amesema kuwa alikuwa na mahusiano na Mzee Mengi Kwa muda wa miaka 15 na kwamba walimwengu ndiyo waliowaachanisha.
Kwa mujibu wa Madam Rita mpaka Mzee Mengi anafariki walikuwa Bado wanapendana japo hawakuwa pamoja.