Madam Rita: Hakuna aliyewahi kunipenda kama Reginald Mengi, nilidate naye Kwa miaka 15

Madam Rita: Hakuna aliyewahi kunipenda kama Reginald Mengi, nilidate naye Kwa miaka 15

Hii nadharia ya kwamaba mwanaume akiwa na pesa anashindana na mashimo mnaitoa wapi? Kuoenda mashimo ni hobby kama hobby zingine....mtu anatakaka kuburudisha nafsi yake basi sio kwamba anashindana na mbususu
Na ukute ujanani hukuyafaidi kwasababu wenye pesa walikuzidi kete. Uzeeni unanunua tu ma pagala kwa mama ntilie.
 
Yaan kama nakuona ungekua kwenye position ya Mengi. Mbususu zingeliwaje😂
🤣🤣🤣🤣Unajua ukiwa na hela huna shida ya kutongoza...wanawake wenye ndio wanataka kugeggedwa na wewe....so ya nini uwanyime kile wanachotaka🤣🤣🤣🤣

Ebu wee imagine demu kapanda v8 tayari mbususu imelowa na anataka ukuni sii itakuwa makosa kutomto.mba
 
Kwakua mapenzi/upendo ni kitu mtambuka.....
Basi huyu mama asitudanganye, bora aseme tu wazi kwamba hakuna mwanaume aliekua anampa pesa kama marehemu mzee Mengi.
Ukweli ni kwamba pesa ndio hasa iliyo mtuliza Madame kwa mzee Mengi.
Naukweli hata Jacky aliamua kuolewa na mzee Mengi kwasababu mzee alikua anaukwasi wa maana.
Madam alimpiga mengi tukio la kupigwa katerero na mtu mwingine
 
Kuna uzi humu unaeleza kua mzee alikua anasaidia watu mno, tena wengi hata hawakumbuki.

Sasa anasaidia watu wasiomtunuku chochote, fikiria je anawapa kiasi gani wale wanaomtunuku mbususu na upendo wa kiwango cha sgr ( japo ni feki).
 
Back
Top Bottom