Madam Rita: Hakuna aliyewahi kunipenda kama Reginald Mengi, nilidate naye Kwa miaka 15

Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi.

Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald Mengi.

Madam Rita amesema kuwa alikuwa na mahusiano na Mzee Mengi Kwa muda wa miaka 15 na kwamba walimwengu ndiyo waliowaachanisha.

Kwa mujibu wa Madam Rita mpaka Mzee Mengi anafariki walikuwa Bado wanapendana japo hawakuwa pamoja.

Mengi angebaki na huyu angekuwa hai mpaka leo, Tunashukuru kumuenzi Baba kwa kumsifia Aikamae!
 
Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi.

Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald Mengi.

Madam Rita amesema kuwa alikuwa na mahusiano na Mzee Mengi Kwa muda wa miaka 15 na kwamba walimwengu ndiyo waliowaachanisha.

Kwa mujibu wa Madam Rita mpaka Mzee Mengi anafariki walikuwa Bado wanapendana japo hawakuwa pamoja.

Aiseee
Screenshot_20220419-211208_Gallery.jpg
 
Yaani uzuri wote huo kuumbe hujawahi kupendwa best???...walikuwa wanapita hivi....duuuu!! pole sana! ebu nionyeshe hao wanao!! ni ke tupu au na vidume vipo?
 
Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi.

Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald Mengi.

Madam Rita amesema kuwa alikuwa na mahusiano na Mzee Mengi Kwa muda wa miaka 15 na kwamba walimwengu ndiyo waliowaachanisha.

Kwa mujibu wa Madam Rita mpaka Mzee Mengi anafariki walikuwa Bado wanapendana japo hawakuwa pamoja.

Angepata naye mtoto ingekuwa poa sana
 
Safiii
 
Back
Top Bottom