Madam Rita: Hakuna aliyewahi kunipenda kama Reginald Mengi, nilidate naye Kwa miaka 15

Kiba insmaana hakua anampenda kama inavyosemekana?
 
Madam kwa jinsi anavyoonekana alikuwa pisi Kali sana.

Mzee machache Sina ugomvi nae pale.
 
Hiyo miaka 15 ni kabla ya Mkewe Marehemu? Baada ya divorce na Mrs Mengi au kipindi cha ndoa? 😮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…