Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza.

20240118_175333.jpg


"Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi hawana heshima kabisa".

"mimi nataka mwanaume mtu mzima ambaye tutashauriana tukaelewana na sio hawa vijana ambao wengine hata pakuishi hawana"- Madam Ritha

Nini maoni yako?
 
Sasa ana uhakika gani kama hatutamshauri[emoji16][emoji16][emoji16].

Haya mambo ya kujipa majibu sio utaratibu mzuri,by the way kwa mfano mimi nimeshauri wamama wengi sana na bado tunashauriana.
 
Kwa hivyo alivyovaa lazima vijana wamfuate.

Sasa kwa watu wasima sidhani kama wapo ambao watakua na muda wa kushauriana na mtu anayevaa vikaputula vya jinsi vilivyokatwa.

Kundi kubwa la wale ambao anasema hawana pa kukaa pigo zao ndio kama hizo kwahiyo asishangae sana kupata anaoendeana nao.
 
Back
Top Bottom