victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,061
Hawezi kulirudisha ITV tangu Machache achepuke na miss Tz uhusiano wao kushneh
Huo ni ujinga,mapenzi yanahusiana vipi na kazi?kama mzee alimuacha na kumchuakua mama wawili yeye alitakiwa aendelee na program zake.
Hapo Mboni kapotea njia bora ange kwenda Clouds TV! tafiti zinaonesha vipindi vinavyo kwenda TBC hufa taratibu!
Tatizo hawa wenye vipindi wakipandishiwa gharama za kurushwa vipindi vyao wanafikiri ni ugomvi!
Nasikia hata Madam Ritta walimpandishia gharama za kurusha kipindi akaona aende TBC bila kuzingatia biashara za wadhamini wa kipindi!
Pengine mtu anaweza kupoteza wadhamini kwa kwenda kituo ambacho wadhamini wanajua hawatapata watazamaji wengi!
Nathani madam alivyo ondokaa ITV tusker project fame hawakulaza damuu coz walijua market ilipoo!! Nathani madam hakujua washindani wake hiyoo nafasi walikua wanaitamani kuliko hizo TV nyingine!!
Besides nahayo nasikia nao tusker project fame wanakuja kivingine mwaka huuu!!
well said but tatizo la cloudstv ni u serious wa biashara, ile kampuni inaendeshwa kwa kutegemea kauli ya mtu mmoja ni kama baba anavoiendesha familia, so there is no assurance of existing in next couple of days kama utapishana kauli na wamiliki tofauti na itv, ile ingawa ni private company lkn owner mara chache sana anaintervene business. yupo bize na mambo mengine makubwa yani anaexist tu kama share holder anavoexist kwenye biashara zingine...hausiki na maamuzi ya kila siku.
kwa hiyo hata kwa wadhamini serious hawawez kuinvest huko coz there is no bussiness continuity assurance encase of misunderstanding na owner. Pamoja na hivo clouds tv haina watazamaji wengi kama itv,tbc,startv,channel10,eatv. yani hizo 5 ndio zina national licence hata ving'amuzi ukiwa hujalipia hutaiona hiyo cloudstv bali hizo tano lazima uzione coz zina national licence as per tcra regulations.
Siasa zimechangia, Laiti kama Tido Mhando angeachwa aiendeshe TBC kitaaluma.Tatizo TBC haivutii watazamaji wengi!
Siasa zimechangia, Laiti kama Tido Mhando angeachwa aiendeshe TBC kitaaluma.
Nadhani ingekua inachuana na citizen ya Kenya, vituo vya ndani vingi vingeachwa mbali.!
vipindi vyote vikishahamiaga tbc ndo vinakaribia kukutwa na umauti....ile ni tv ya wazazi sio vijana, angalieni mboni show itavyofwariki soon.
mfikishieni #MboniMasimba hizi taarifa kule kinaenda jichimbia kaburi tu, zaidi ya wadhamini wenye asili ya kiserikali kama wale alionao hamna mwingine serious atamfadhili future ya biz ya tz na africa kwa ujumla ipo kwenye rika ya vijana.
Tatizo wanaogopa kugharamia vipindi ni wazi kapandishia charges za air time ndio maana kaona ahamie TBC! Mboni ndio atapotea mapema kuliko BSS!