well said but tatizo la cloudstv ni u serious wa biashara, ile kampuni inaendeshwa kwa kutegemea kauli ya mtu mmoja ni kama baba anavoiendesha familia, so there is no assurance of existing in next couple of days kama utapishana kauli na wamiliki tofauti na itv, ile ingawa ni private company lkn owner mara chache sana anaintervene business. yupo bize na mambo mengine makubwa yani anaexist tu kama share holder anavoexist kwenye biashara zingine...hausiki na maamuzi ya kila siku.
kwa hiyo hata kwa wadhamini serious hawawez kuinvest huko coz there is no bussiness continuity assurance encase of misunderstanding na owner. Pamoja na hivo clouds tv haina watazamaji wengi kama itv,tbc,startv,channel10,eatv. yani hizo 5 ndio zina national licence hata ving'amuzi ukiwa hujalipia hutaiona hiyo cloudstv bali hizo tano lazima uzione coz zina national licence as per tcra regulations.