Madam Ritta umeizika Bongo Star search (BSS)?

Madam Ritta umeizika Bongo Star search (BSS)?

Nathani madam alivyo ondokaa ITV tusker project fame hawakulaza damuu coz walijua market ilipoo!! Nathani madam hakujua washindani wake hiyoo nafasi walikua wanaitamani kuliko hizo TV nyingine!!
Besides nahayo nasikia nao tusker project fame wanakuja kivingine mwaka huuu!!
 
Huo ni ujinga,mapenzi yanahusiana vipi na kazi?kama mzee alimuacha na kumchuakua mama wawili yeye alitakiwa aendelee na program zake.

Tatizo watanzania tunapenda kuchanganya mapenzi na kazi sasa sijui alizoea bwelele alivyo pandishiwa gharama za kurusha matangazo akafikiri amekomolewa akaamua kuhama! alipo kuwa ITV alikuwa na wadhamini wengi ukitoa wale wakuu!
 
Hapo Mboni kapotea njia bora ange kwenda Clouds TV! tafiti zinaonesha vipindi vinavyo kwenda TBC hufa taratibu!

Tatizo hawa wenye vipindi wakipandishiwa gharama za kurushwa vipindi vyao wanafikiri ni ugomvi!

Nasikia hata Madam Ritta walimpandishia gharama za kurusha kipindi akaona aende TBC bila kuzingatia biashara za wadhamini wa kipindi!

Pengine mtu anaweza kupoteza wadhamini kwa kwenda kituo ambacho wadhamini wanajua hawatapata watazamaji wengi!

well said but tatizo la cloudstv ni u serious wa biashara, ile kampuni inaendeshwa kwa kutegemea kauli ya mtu mmoja ni kama baba anavoiendesha familia, so there is no assurance of existing in next couple of days kama utapishana kauli na wamiliki tofauti na itv, ile ingawa ni private company lkn owner mara chache sana anaintervene business. yupo bize na mambo mengine makubwa yani anaexist tu kama share holder anavoexist kwenye biashara zingine...hausiki na maamuzi ya kila siku.

kwa hiyo hata kwa wadhamini serious hawawez kuinvest huko coz there is no bussiness continuity assurance encase of misunderstanding na owner. Pamoja na hivo clouds tv haina watazamaji wengi kama itv,tbc,startv,channel10,eatv. yani hizo 5 ndio zina national licence hata ving'amuzi ukiwa hujalipia hutaiona hiyo cloudstv bali hizo tano lazima uzione coz zina national licence as per tcra regulations.
 
Akirudi kivingine kama wadau wanavyosema asije akabugi na kwenda ile TV ya CCM maana haina mvuto hata watu wengi hatushobokei uko
 
Nathani madam alivyo ondokaa ITV tusker project fame hawakulaza damuu coz walijua market ilipoo!! Nathani madam hakujua washindani wake hiyoo nafasi walikua wanaitamani kuliko hizo TV nyingine!!
Besides nahayo nasikia nao tusker project fame wanakuja kivingine mwaka huuu!!

Tatizo Madam Ritta alisahau kuwa kipindi kilikuwa kinaangaliwa na wengi kilipo kuwa ITV na kilikuwa bora sana tena sana na wadhamini alikuwa nao wengi kwakuwa walijua kupitia ITV watauza!
 
Hata Big Brother Africa ikihamia TBC itakufa tu.
 
Hivi TBC bado inarusha matangazo yake?Maana nina miaka mingi sijatazama hiyo channel ya chama!
 
well said but tatizo la cloudstv ni u serious wa biashara, ile kampuni inaendeshwa kwa kutegemea kauli ya mtu mmoja ni kama baba anavoiendesha familia, so there is no assurance of existing in next couple of days kama utapishana kauli na wamiliki tofauti na itv, ile ingawa ni private company lkn owner mara chache sana anaintervene business. yupo bize na mambo mengine makubwa yani anaexist tu kama share holder anavoexist kwenye biashara zingine...hausiki na maamuzi ya kila siku.

kwa hiyo hata kwa wadhamini serious hawawez kuinvest huko coz there is no bussiness continuity assurance encase of misunderstanding na owner. Pamoja na hivo clouds tv haina watazamaji wengi kama itv,tbc,startv,channel10,eatv. yani hizo 5 ndio zina national licence hata ving'amuzi ukiwa hujalipia hutaiona hiyo cloudstv bali hizo tano lazima uzione coz zina national licence as per tcra regulations.

Kwangu Toka mwanzo walipo amia TBC niliona uhai wa BSS ni mdogo na pamoja TBC kuwa kati ya Station tano muhimu bado wa ni wa kundi moja wazee hivyo hata wadhamini hawawezi kuuza biashara zao sana
 
Siasa zimechangia, Laiti kama Tido Mhando angeachwa aiendeshe TBC kitaaluma.

Nadhani ingekua inachuana na citizen ya Kenya, vituo vya ndani vingi vingeachwa mbali.!

Tido alijaribu kuibadilisha TBC kuwa TV ya kitaifa na ya kuangaliwa na wengi lakini alikwamishwa!
 
mfikishieni #MboniMasimba hizi taarifa kule kinaenda jichimbia kaburi tu, zaidi ya wadhamini wenye asili ya kiserikali kama wale alionao hamna mwingine serious atamfadhili future ya biz ya tz na africa kwa ujumla ipo kwenye rika ya vijana.
 
vipindi vyote vikishahamiaga tbc ndo vinakaribia kukutwa na umauti....ile ni tv ya wazazi sio vijana, angalieni mboni show itavyofwariki soon.

yaani mboni ndo kajimaliza BSS mi ht fainali sikujua lini
mi nimemshangaa mboni kweli
 
yaani mboni ndo kajimaliza BSS mi ht fainali sikujua lini
mi nimemshangaa mboni kweli

Tatizo wanaogopa kugharamia vipindi ni wazi kapandishia charges za air time ndio maana kaona ahamie TBC! Mboni ndio atapotea mapema kuliko BSS!
 
mfikishieni #MboniMasimba hizi taarifa kule kinaenda jichimbia kaburi tu, zaidi ya wadhamini wenye asili ya kiserikali kama wale alionao hamna mwingine serious atamfadhili future ya biz ya tz na africa kwa ujumla ipo kwenye rika ya vijana.

Tatizo ni kuogopa gharama ndio maana wana kimbilia TBC! Kule ni watu wachache wata Anglia!
 
Tatizo wanaogopa kugharamia vipindi ni wazi kapandishia charges za air time ndio maana kaona ahamie TBC! Mboni ndio atapotea mapema kuliko BSS!

yani uko sahihi kabisa ila ndo wanajipoteza hvyoo mi naimani ht wakirudi IPP wadhamini wapo
 
Hana hela,eti beauty with brain,wakati hela zilikuwa za kuhongwa na fisadi nyangumi
 
Back
Top Bottom