jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Kiki zimemuishia tunachoweza kukubali ni uwezekano wakurudiana na Yule mburundi her future husband
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CEO Endless Virojaanafanya shughuli gani za kumuingizia kipato hapo daslamu?
Yanga Ni Kaya Masikini Inahitaji Msaada Wa TASAFbora anunue hisa za YANGA kuliko kujenga hilo lishopingi meli
Duuuh kumkadiria mtu maisha yake ni zaidi ya ushetani,hata mimi nilishangaa labda anauza Tigo yake kwa Euro milion 7 ndiyo afikie utajiri huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafannya maendeleo sana tuuh, hawaweki publicNilikua najiuliza wanaume wanaouuza hiyo tigo nao wanafanya maendeleo gani
Siku hizi mchuano ni mkali Kati ya wanawake na wanaume
Ni rubani wa ndege kwareeeee ama eroplen? Au ukoo wa kina Seba na ruben ndege,?Huyo Rubani?
Na kuanzia Tegeta Hadi Bunju pia zipoMalls zinalipa Dar tu na zenyewe zinadorora pita Bagamoyo Road one zilivyo nyingi kuanzia Mikocheni hadi Afrikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna day mgahawani niliagiza chai yule dada kwa nguvu kutokea anapopakulia akauliza na chapati ngapi? Kujibu TATU, kila mtu anageuka kuona nani anakula chapati tatu? Kumbe chapati 2 ndio SI UnitNipatie na chapati mbili....
Ule mjengo wa 400m alishauza?Pa kulala hana atawezaje kujengaMall?
Huyo zama zake zimeisha,ameyachezea maisha
Rudi kwenye uzi wako wa maphoto bana, huku sio pakoSepenga mkimaanisha sepetu?
Hahahaa! Kuandika na kuchora chora huwa ni rahisi sana yaani. Ila uhalisia sasaa.
Joke ya mwaka
Danga hili alishikilie kwa mikono miwili.
Ila ni rahisi kama ukitumia mambo matatu ya secret to happiness.Hahahaa! Kuandika na kuchora chora huwa ni rahisi sana yaani. Ila uhalisia sasaa.
malaya aliyechezea bahatiKatika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
View attachment 1299938
Kwa wasani wa bongo anayeweza kufanya hv ni Mondi pekee kwa sasa wengine watulie kidogo!!Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
View attachment 1299938